NEEC YAJIPANGA KUONGEZA KASI YA UWEZESHAJI KIUCHUMI KUELEKEA DIRA 2050
Katibu Mtendaji wa NEEC Bw. Jabiri Makame amefanya kikao kazi cha mwelekeo wa NEEC katika utekelezaji wa Sera ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Dira...
DIT WAANZA UDAHILI WA WANAFUNZI WAPYA 2026/2027 , MASOMO KUANZA RASMI OKTOBA 26, 2026
Na Mwandishi Wetu.
Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) imeanza kupokea na kutoa mafunzo ya utambulisho ( Orientation ) kwa wanafunzi wapya wa...
TBS YAIWEZESHA HESLB KUIMARISHA UBORA WA HUDUMA KUPITIA VIWANGO VYA KIMATAIFA
Na Mwandishi Wetu.
Kupata cheti cha kimataifa cha ubora cha ISO 9001:2015 kumeiwezesha Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kuweka mkakati...
NCHI 70 DUNIANI ZAKUTANA DAR ES SALAAM KUJADILI VIWANGO VYA UBORA WA NAFAKA NA...
Na Mwandishi Wetu.
Uimarishaji wa viwango vya ubora wa nafaka na mazao ya jamii ya kunde unatajwa kuwa hatua muhimu ya kuongeza ushindani wa bidhaa...
LONDO ATOA WITO KWA WADAU KUIMARISHA UPATIKANAJI WA MITAJI KWA BIASHARA CHANGA
📌Naibu Waziri ahimiza uwekezaji wa mitaji ya ubia na uwekezaji wa hisa katika kampuni binafsi.
📌Aeleza umuhimu wa kulinda haki za wabunifu na wawekezaji ili...
TAHILISO YAPAZA SAUTI: VYUO VITOE AVN KWA WAKATI
Magrethy Katengu —Mzawa media Dar es Salaam
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHILISO) amewataka watendaji wa vyuo vya...
WAZIRI WA FEDHA AWEKA MKAZO KWENYE MITAJI KUFIKIA DIRA 2050
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema upatikanaji wa mitaji, uwekezaji katika viwanda na uboreshaji wa mazingira ya biashara ni muhimu...
NDEJEMBI AIAGIZA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA KUTENGENEZA SERA ITAKAYOONGOZA BIASHARA BUNIFU NCHINI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara kuhakikisha ndani ya miezi sita inatengeneza...
KAMATI YA KANUNI NA SHERIA NDOGO YA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR YAFANYA ZIARA TBS.
Na Mwandishi Wetu.
KAMATI ya Kanuni na Sheria Ndogo ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar imepongeza uwekezaji uliofanywa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
TBS NA ZBS KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA USIMAMIZI WA VIWANGO
Kamati ya Kanuni na Sheria Ndogo ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar imetembelea Shirika la Viwango Tanzania (TBS), katika ofisi zake zilizopo Ubungo, Dar-es-salaam, kwa...















