Home 2024
Yearly Archives: 2024
MWENYEKITI UVCCMΒ MKOA WA GEITA ASHIRIKI KUPIGA KURA NA KUWAHIMIZA VIJANA KUDUMISHA AMANI
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita, Manjale Magambo, ameshiriki zoezi la upigaji kura katika Mtaa wa Bombambili,...
MNEC CHACHA WAMBURA ASHIRIKI ZOEZI LA KUPIGA KURA GEITA
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC), Chacha Wambura, ameshiriki zoezi la kupiga kura leo katika ofisi za Serikali ya Kata ya Bomba...
DC SAME, KASLIDA MGENI AWAASA WANANCHI KUJITOKEZA KWA WINGI KUPIGA KURA ZA SERIKALI ZA...
Mkuu wa Wilaya ya Same, Kaslida Mgeni, amewaasa wananchi wa wilaya hiyo kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika uchaguzi wa viongozi wa Serikali...
NIMEPIGA KURA; NIMETIMIZA HAKI YANGU YA KIKATIBA- MHE.KAPINGA
π Aungana na Wananchi kuchagua Viongozi Kitongoji cha Mheza
π Ahimiza Watanzania kuendelea kujitokeza kupiga kura
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga leo ameshiriki zoezi...
DC SUMAYE, AONGOZA WANANCHI KUPIGA KURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Na Ashrack Miraji Mzawa media
Mkuu wa Wilaya ya Lushoto, Zephaniel Sumaye, leo tarehe 27 ameongoza wananchi katika zoezi la kupiga kura la uchaguzi wa...
HIMAHIMA TUJITOKEZE KWA WINGI KUPIGA KURA 27 NOVEMBA 2024-KAPINGA
π Afunga kwa kishindo Kampeni za CCM Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mbinga
π Asema CCM ni tumaini la Watanzania; Ipate kura za Ndiyo
π Akumbusha...
TBS YATOA WITO KWA WAZALISHAJI WA BIDHAA KUHAKIKISHA WANAWEKA TAARIFA SAHIHI KATIKA VIFUNGASHIO KUMLINDA...
Na Mwandishi Wetu.
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wazalishaji wa bidhaa nchini kuhakikisha wanaweka taarifa kwenye vifungashio vya bidhaa husika ili kumuwezesha mlaji kutambua...
KAMPUNI YA TIGO YABADILI JINA SASA INAITWA YAS
Na Mwandishi Wetu.
Honora Tanzania Public Limited (βTigoβ) na Honora Tanzania Mobile Solutions Limited (βTigo Pesaβ), ambazo ni sehemu ya kampuni ya AXIAN Telecom Group...
ENOCK KOOLA ACHANGIA MILION 6.5 AGAPE LUTHERAN SEMINARY
Na Ashrack Miraji
Mdau wa maendeleo ya jamii na Wananchi kwa ujumla Bwana Enock Koola ambaye ni MCHUMI kitaaluma , amechangia sh 6,500 000...
MBUNGE MATHAYO ” APOI”AENDELEA KUWATAFUTIA KURA WENYEVITI WA MITAA CCM
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini,Vedastus Mathayo " apoi" akiendelea kulizunguka jimbo la Musoma mjini kuwatafutia kura Wenyeviti na wajumbe kutoka Chama...













