Monday, November 23, 2026
FAHARI AFYA
Home 2023 September

Monthly Archives: September 2023

JUDITH KAPINGA, MIRADI, NISHATI

JUDITH KAPINGA: MIRADI YA NISHATI KUMULIKWA

0
Na Dorina Makaya & Issa Sabuni Naibu Waziri wa Nishati Mheshimiwa Judith Kapinga amesema, Miradi yote ya Nishati kuanzia sasa itasimamiwa kwa jicho la ukaribu...
WAKALA, VIPIMO, WMA

WAKALA WA VIPIMO WMA NA JESHI LA ZIMAMOTO MKOA WA PWANI WATOA ELIMU KWA...

0
Jeshi la zimamoto mkoa wa Pwani kwa kushirikiana na Wakala wa Vipimo WMA wametoa elimu ya kujilinda moto na jinsi ya kuhakiki ujazo wa...
NYAKATO, MAKOKO, KUTAFUTA

NYAKATO FC MAKOKO KUUMANA KESHO JUMATATU KUTAFUTA MSHINDI WA 3 MATHAYO CUP

0
Na Shomari Binda-Musoma MCHEZO wa kutafuta mshindi wa 3 wa mashindano ya Mathayo Cup utafanyika kesho saa 10 jioni kwenye uwanja wa Mara sekondari. Timu za...
RASILIMALI ZAIDI, ZINAHITAJIKA, KUPAMBANA

RASILIMALI ZAIDI ZINAHITAJIKA KUPAMBANA NA UGONJWA WA MALARIA

0
Na WAF, Newyork USA Ili tuweze kuutokomeza ugonjwa wa malaria, tunahitaji rasilimali zaidi na uwajibikaji wenye kuleta matokeo chanya kwenye mapambano dhidi ya malaria. Kauli hiyo...
MAJALIWA, UVUVI, WENYE

MAJALIWA AHIMIZA UFUGAJI NA UVUVI WENYE TIJA

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 24, 2024 ametembelea Soko la Kimataifa la mazao ya Uvuvi la Katembe-Magarini lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Muleba,...
WAZIRI MKUU, VETA, NDOLAGE

WAZIRI MKUU AKAGUA VETA NDOLAGE, AHIMIZA UJENZI WA MABWENI KAMACHUMU

0
*Aonya wanaume wanaowakatisha masomo wanafunzi wa kike WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi Ndolage na kuhimiza kiwe kimekamilika ifikapo Novemba...
MBUNGE OLE, LEKAITA, RAIS

MBUNGE OLE LEKAITA AMPA TANO RAIS SAMIA//BIL 1.104 UJENZI SHULE SHIKIZI WILAYANI KITETO

0
Na Mathias Canal, Kiteto-Manyara Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoani Manyara Mhe Edward Ole Lekaita amempongeza na kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
WADAU, BANDA, GST

WADAU WAVUTIWA NA BANDA LA GST KATIKA MAONESHO YA TEKNOLOJIA YA MADINI MKOANI GEITA

0
● Wadau wa Sekta ya Madini waona umuhimu wa kutumia taarifa za GST Wadau mbalimbali wameeleza kuvutiwa na Kitabu cha Madini Yapatikanayo Tanzania kinachopatikana katika...
WAZAZI, KUTOWAACHIA, USIMAMIZI

WAZAZI WATAKIWA KUTOWAACHIA USIMAMIZI WA MAADILI WALIMU PEKE YAO

0
Na Shomari Binda-Musoma WAZAZi na walezi wametakiwa kutowaachia usimamizi wa malezi ya maadili ya wanafunzi walimu peke yao. Kauli hiyo imetolewa na diwani wa Kata ya...
MAJALIWA, WANNE, TRA

MAJALIWA AAGIZA MAOFISA WANNE WA TRA MUTUKULA WARUDISHWE MAKAO MAKUU

0
Asisitiza Rais Samia anataka uadilifu SerikaliniAhimiza mji wa Mutukula ujengwe kibiashara WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza Afisa Mfawidhi wa Kituo cha Mamlaka ya Mapato Tanzania...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA