WAZIRI MKUU ATOA AGIZO KWA NAIBU WAZIRI MKUU
*Amtaka ashughulikie changamoto ya upatikanaji wa mafuta nchini
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amemuagiza Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko aendelee kushughulikia...
MADAKTARI BINGWA TOKA BUGANDO WAENDELEA KUTOA HUDUMA HOSPITALI YA MWALIMU NYERERE MUSOMA
Na Shomari Binda-Musoma
MADAKTARI bingwa kutoka hospital ya kanda Bugando wameendelea kutoa huduma za matibabu ya kibingwa kwenye hospital ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere.
Matibabu yanayotolewa...
WAZIRI MCHENGERWA AWAONYA WATENDAJI WASIOWAJIBIKA, AAHIDI KUIREJESHA TAMISEMI KWA WANANCHI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaonya watendaji katika Mamlaka za Serikali za...
TANZANIA INA JUMLA YA MADAKTARI BINGWA WAZALENDO 2,469
Na. WAF, DodomaTanzania ina jumla ya Madaktari Bingwa Wazalendo 2,469 ambao wamesajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika wa fani mbalimbali za Udaktari Bingwa.
Hayo yamebainishwa...
MAVUNDE AIPONGEZA STAMICO KWA KUPIGA HATUA NA KUJITEGEMEA
#Aitaka kuchukua mafanikio kama kichocheo
#STAMICO yabainisha mipango yake
Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amelipongeza Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kwa hatua kubwa iliyopigwa...
WAZAZI LIPENI ADA KWA WAKATI NA WALINDENI WATOTO DUNIA IMEHARIBIKA-MEYA SHILOO
Na Boniface Gideon, TANGA
Mustahiki meya wa Jiji la Tanga Abdarahaman Shiloo amewataka Wazazi Kulipa ada kwa wakati pamoja wakuwalinda Watoto wa jinsia zote kutokana...
MATHAYO: HAKUNA MZAZI ANAYELIPA ADA YA MWANAFUNZI JIMBO LA MUSOMA MJINI
MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini, Vedastus Mathayo amesema hakuna mzazi anayelipa ada ya mwanafunzi kwenye jimbo hilo.
Akizungumza kwa njia ya simu na Mzawa...
WAZIRI MAVUNDE: GST NDIYO MOYO WA SEKTA YA MADINI
•Aahidi kuipa kipaumbele GST
•GST yatajwa kuwa ni moja ya kinara wa Maabara Bora ya Utafiti Madini Barani Afrika
Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amesema...















