Home 2022
Yearly Archives: 2022
RASIMU YA MITAALA MIPYA NA RASIMU YA MAPITIO YA SERA KUKAMILIKA DISEMBA 2022-WAZIRI MKENDA
Na Mathias Canal
Serikali imesema kuwa imeamua kufanya mageuzi ya elimu ambapo kufikia mwezi Disemba 2022 rasimu ya Mitaala mipya pamoja na rasimu ya mapitio...
WAZIRI NDALICHAKO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA USWISI NCHINI TANZANIA.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako leo tarehe 25 Jula, 2022, amekutana...
KUSUASUA KWA MRADI WA AFYA DKT MAGEMBE ASHUSHA NONDO KWA WASIMAMIZI
OR-TAMISEMI
Naibu Katibu Mkuu (Afya) Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) Dkt. Grace Magembe ameagiza kufanyika Uchunguzi wa kina katika...
KINANA AWASILI KATAVI KWA ZIARA YA KIKAZI, KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO
Na Mwandishi Wetu Katavi
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana amewasili mkoani Katavi kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi...
TAMKO LA SERIKALI KUHUSU TISHIO LA MGOMO WA WAFANYAKAZI MADEREVA
Serikali imetoa tamko kuhusu tishio la mgomo wa wafanyakazi madereva, taarifa hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira...
WAZIRI NDALICHAKO AHIMIZA USHIRIKI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Profesa Joyce Ndalichako ametoa wito kwa wanaparokia wa Parokia ya Utatu...
TAMASHA LA 13 LA MUZIKI LA CIGOGO LAFAANA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Hassan Abbasi akikagua vikundi vya ngoma na kupita kwenye mabanda ya maonesho wakati alipomwakilisha...
SERIKALI YA UGANDA IMEMALIZA CHANGAMOTO YA ARDHI KUENDELEA KUPITISHA BOMBA LA MAFUTA.
Na Mwandishi Wetu, Tanga,
Serikali ya Nchini Uganda imesema tayari imeshamaliza changamoto ya ardhi iliyokuwa ikiwakabili katika mradi wa ujenzi wa mafuta ghafi kutoka Hoima...
TUTAHAKIKISHA STAHIKI ZA WATUMISHI ZINALIPWA MAPEMA NA KUWAJENGEA NYUMBA:Waziri Ummy
Na. WAF - Mtwara
Watumishi wa Hospital ya Rufaa Kanda ya Kusini Mtwara kujengewa nyumba 20 vya malazi pamoja na kununuliwa magari mawili (Coster) na...
















