Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Hassan Abbasi akikagua vikundi vya ngoma na kupita kwenye mabanda ya maonesho wakati alipomwakilisha Waziri Mohammed Mchengerwa kufunga Tamasha la 13 la Muziki la Cigogo, Chamwino, Dodoma leo Julai 24, 2022.
Tamasha hilo limehudhuriwa na wadau mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi ikiwemo wawakilishi wa taasisi ya Chamwino Connect USA kutoka Seattle, Marekani!