Home Kitaifa MAJALIWA AWAJULIA HALI MAJERUHI WA MAAFA YA MAFURIKO HANANG

MAJALIWA AWAJULIA HALI MAJERUHI WA MAAFA YA MAFURIKO HANANG

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Disemba 05, 2023 amewajulia hali majeruhi wa maafa ya mafuriko yaliyosababisha kuporomoka kwa tope na mawe kutoka mlima Hanang, Katesh Mkoani Manyara.

Majeruhi hao wanapatiwa matibabu bure na Serikali katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa manyara.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!