Home 2026
Yearly Archives: 2026
SERIKALI YAONDOA URASIMU KUKUZA UWEKEZAJI VIWANDA VYA DAWA
Serikali ya Tanzania imetangaza kuondoa urasimu ili kuharakisha uwekezaji katika viwanda vya dawa nchini kupitia mkakati mpya wa kuhimiza maendeleo ya sekta hiyo ya...
AFYA MSINGI WA MAENDELEO YA UCHUMI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe, amesema afya ni nguzo muhimu ya maendeleo ya kiuchumi ya taifa, akisisitiza kuwa wananchi wenye...
MIKATABA YA TRILIONI 1.2 YASAINIWA NA REA KUSAMBAZA UMEME VITONGOJI 9,009 NCHINI.
Na Deborah Lemmubi-Dodoma.
Waziri wa Nishati Mhe Deogratius Ndejembi amesema kuwa upatikanaji wa Umeme kwa Watanzania wote ni agenda ya Kitaifa na ya kimkakati na...
KAMATI YA BUNGE YAZIPONGEZA NDC, TBS, BRELA na TIRDO KWA UTOAJI HUDUMA BORA KWA...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imepongeza Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Wakala...
TBS WATOA ELIMU YA VIWANGO, MAONESHO YA 12 YA BIASHARA KIMATAIFA ZANZIBAR
Na Mwandishi Wetu.
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa elimu kuhusu masuala ya viwango kwa wananchi na wajasiriamali wanaotembelea Maonesho ya 12 ya Biashara...
MKUU WA WILAYA KISARAWE AWAONYA WAKANDARASI KUACHA UZEMBE KATIKA UJENZI
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Mhe. Petro Magoti, amewataka wakandarasi wanaotekeleza miradi ya serikali kuacha uzembe na kufanya kazi kwa kuzingatia mikataba na viwango...
WAZIRI KAPINGA ASISITIZA TATHMINI ZA MARA KWA MARA KATIKA TAASISI ZA WIZARA
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amesisitiza umuhimu wa taasisi zilizo chini ya Wizara yake kufanya tathmini za mara kwa mara kama njia...
DKT. SEIF AAGIZA KUKAMATWA MKANDARASI NJOMBE AKISHINDWA KUKAMILISHA KAZI KWA WAKATI
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Jafar Seif, kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi...
ONYO KWA WAZAZI WANAOWAFICHA WATOTO
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Mhe. Petro Magoti, ametoa wito kwa wazazi wote wenye watoto wenye ulemavu kuhakikisha wanawaandikisha shule wanapofikia umri wa kuanza...
MAELEKEZO YA RAIS SAMIA ‘TANGA YA VIWANDA’ YATEKELEZWA
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga (Mb), amesema jitihada za Serikali katika kufufua viwanda Mkoani Tanga zimeanza kuzaa matunda, akitolea mfano Kiwanda...













