Home 2026
Yearly Archives: 2026
SERIKALI YAWEKA UWAJIBAKAJI SEKTA YA ARDHI
Na Munir Shemweta, WANMM
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, ameutumia uzinduzi wa “Samia Ardhi Kliniki” jijini Dar es Salaam...
MHE.LONDO ASISITIZA ULINZI WA AJIRA NA UKUAJI WA UCHUMI KUPITIA VIWANDA
Serikali kuendelea kuweka mazingira salama kwa wenye Viwanda vinavyofanya kazi na kutatua changamoto kwa wakati ili kuendelea kulinda ajira za Watanzania na kuongeza mzunguko...
WAZIRI MKUU: ELIMISHENI WANANCHI MASUALA YA ARDHI
WAZIRI MKUU Dkt Mwigulu Nchemba amewaomba Wabunge wa Mbulu na uongozi wa wilaya hiyo waendelee kutoa elimu kwa wananchi juu ya kuendeleza amani na...
WANAWAKE KUNUFAIKA NA HATI, ELIMU NA UTATUZI WA MIGOGORO YA ARDH KUPITIA SAMIA ARDHI...
Na.Alex Sonna-Dodoma
WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanzisha kliniki maalum iitwayo Samia Ardhi Kliniki nchi nzima kwa lengo la kuongeza idadi ya...
WAJASIRIAMALI WANAWAKE WAIPONGEZA TBS , KWA KUWAPA ELIMU NA KUSHIRIKI MAONESHO YA MIAKA 20...
Na Mwandishi Wetu.
Shirika la Viwango Tanzania TBS , linashiriki Maonesho ya Bidhaa za Viwanda na Biashara za Wanawake, yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja...
PROF. JANABI AZINDUA WODI YA WATOTO NJITI HOSPITALI YA WILAYA YA KWIMBA, MWANZA
Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Prof. Mohamed Janabi amezindua wodi ya kwanza na ya kisasa nchini kwa ajili ya watoto njiti, iliyojengwa...
Sayansi na Teknolojia Zatajwa Muhimu katika Kuhifadhi Historia ya Maji Maji
RUVUMA |
Katibu Mkuu wa TRAMEPRO Atoa Wito wa Kugeuza Historia ya Vita vya Maji Maji kuwa Fursa za Maendeleo
Katibu Mkuu wa Shirika la Tiba...
MKAA MBADALA MKOMBOZI MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KWA WATANZANIA
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa kutumia teknolojia mbalimbali ikiwemo matumizi ya mkaa mbadala unaozalishwa nchini...
ZAIDI YA MILIONI 300 ZATUMIKA KUNUNUA VIFAA VYA ELIMU NA AFYA BUNDA NA SERENGETI
Zaidi ya shilingi milioni mia tatu zimetumika kununua vifaa tiba na vifaa vya elimu, ikiwemo madawati zaidi ya elfu tatu pamoja na kompyuta, katika...
TAWA YAKABIDHI VIFAA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 362 KWA WILAYA ZA SERENGETI NA...
Na. Joyce Ndunguru, Mara.
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa kushirikiana na Kampuni ya Grumeti Reserve Ltd imekabidhi vifaa mbalimbali yakiwemo Madawati 3,015,...













