Home 2026
Yearly Archives: 2026
TANZANIA YAPEWA PONGEZI UUNDWAJI WA TUME YA UCHUNGUZI
Pongezi hizo zimetolewa katika taarifa ya Kamishna Mkuu wa Baraza la Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Volker Turk wakati wakutoa taarifa inayoangazia...
MFUGAJI WA KUKU AMEJISHINDIA PIKIPIKI
Mjasiriamali na mfugaji wa kuku kutoka Mapinga, Bagamoyo, Raphael Emmanuel, amejishindia pikipiki kupitia promosheni iliyoandaliwa na kampuni ya michezo ya kubashiri ya PigaBet.
Akizungumza wakati...
DKT. JAFO AWASHA TENA MOTO WA AFYA VIJIJINI KUPITIA KAMPENI YA “KILA MTU ATIBIWE...
Mbunge wa Jimbo la Kisarawe,Mhe.Dkt. Selemani Jafo, ameendelea kuonesha dhamira yake ya dhati katika kuboresha huduma za afya kupitia kampeni yake ya “Kila Mtu...
FCT: UWAJIBIKAJI, UAMINIFU NGUZO YA BIASHARA DODOMA
KATIBU Tawala Msaidizi Sehemu ya Biashara na Uwekezaji Mkoa wa Dodoma Bi.Mwajabu Nyamkomora,akizungumza wakati akifungua semina ya kuwajengea uwezo wadau wa Baraza la Ushindani...
REA YANG’ARA KWA MAFANIKIO UHAMASISHAJI NISHATI VIJIJINI MKOANI MARA
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeendelea kung’ara mkoani Mara baada ya kuonesha mafanikio makubwa katika ziara ya uhamasishaji wa miradi ya nishati vijijini. Wananchi...
DKT.JAFO ARIDHISHWA NA KASI YA MKANDARASI MRADI WA MAJI NYANI
Mbunge wa Jimbo la Kisarawe mkoani Pwani, Selemani Jafo, ameonesha kuridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa maji katika Kijiji cha Nyani, Kata...
MAKAMU WA RAIS BALOZI NCHIMBI KUWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 120 YA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasili Songea mkoani Ruvuma leo tarehe 26 Februari 2026, kwa...
FCC Yasisitiza Ushindani wa Haki kwa Maendeleo ya Taifa
Tume ya Ushindani (FCC) imesema itaendelea na mchakato wa marekebisho ya sheria zake kwa lengo la kuimarisha ulinzi wa walaji, kudhibiti bidhaa bandia na...
KATIBU MKUU RAMEPRO,BONIVENTURA MWALONGO ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO CHA MAREHEMU KARDINALI PENGO
Kwa masikitiko makubwa na huzuni nzito, tumepokea taarifa ya kifo cha Mwadhama Polycarp Cardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es...
MFUMO WA IDRAS KUONGEZA UWAJIBIKAJI NA UWAZI KATIKA TAASISI ZA UMMA
Meneja wa Ukaguzi wa Sekta za Umma, kutokea Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bi. Rosemary Ruganuza,amezitaka taasisi za sekta ya umma kutumia kwa usahihi...













