Friday, July 10, 2026
Home 2026

Yearly Archives: 2026

FCC YASEMA MAGEUZI YA SHERIA YATALINDA WALAJI, KUBANA BIDHAA BANDIA

0
Tume ya Ushindani (FCC) imesema inaendelea na mageuzi ya sheria na mifumo yake ya kazi ili kuimarisha ushindani wa haki sokoni na kulinda walaji...

WATOA HUDUMA YA LPG PWANI WAKUMBUSHWA USALAMA

0
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Mashariki imewakumbusha wafanyabiashara na wadau wa gesi ya kupikia (LPG) kuzingatia usalama,...

SERIKALI YAENDELEA KUBORESHA HUDUMA KWA WAZEE – DKT. JINGU

0
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu, amesema dhamira ya Serikali ni kuendelea kuwajali na kuwahudumia...

EWURA YAPONGEZWA KWA USHIRIKIANO, USIMAMIZI WA MAMLAKA ZA MAJI NCHINI

0
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) ameipatia tuzo Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kwa kutambua mchango wake na...

TBS KANDA YA KATI WATEKETEZA TANI 4.5 ZA NGUO ZA MITUMBA , VIPODOZI NA...

0
Na Mwandishi Wetu. SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Kati limeteketeza tani 4.5 za bidhaa hafifu na zilizopigwa marufuku zenye thamani ya shilingi milioni...

WAZABUNI WA KILWA, LINDI NA MTWARA WAPATIWA MAFUNZO YA MATUMIZI YA MODULI YA MALALAMIKO,...

0
Na Mwandishi Wetu, Lindi na Mtwara Katika jitihada za kuongeza uelewa wa matumizi ya Moduli ya kupokea na kushughulikia Malalamiko na Rufaa kupitia Mfumo wa...

MFUMO WA TANOGA KUIMARISHA UDHIBITI WA MIZIGO NA MAPAMBANO DHIDI YA BIDHAA

0
Mfumo wa kidijitali wa TANOGA (Tanzania Other Government Agencies) umetajwa kuwa chombo muhimu katika kuimarisha udhibiti wa mizigo inayoingia nchini na kupambana na bidhaa...

DKT.HOMERA AWASILI NCHINI USWISI  KUHUDHURIA MKUTANO WA BARAZA LA HAKI ZA BINADAMU LA UMOJA...

0
Waziri wa Katiba  na Sheria Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera amewasili Nchini Geneva, Uswisi kuhudhuria Mkutano wa Ngazi ya Juu katika Baraza la Haki...

 DKT. MWIGULU NCHEMBA ASISITIZA UBORA WA KITAALUMA NA UTAFITI TAASISI YA NELSON MANDELA

0
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa wito kwa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson...

KAMPASI YA TPSC TABORA YATOA MISAADA NA KUFANYA USAFI – KITUO CHA WAZEE IPULI-TABORA

0
Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 25 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), Kampasi ya Tabora imefanya ziara ya kijamii katika...