Home 2026
Yearly Archives: 2026
TANZANIA NA OMAN KUIMARISHA USHIRIKIANO MASUALA YA KAZI NA AJIRA
Tanzania na Oman zimeendelea kuonyesha dhamira ya kuendelea kuimarisha ushirikiano katika masuala ya kazi na ajira ili kuongeza ajira zenye staha, kulinda haki za...
VYANZO VYA MAJI KUENDELEA KUTUNZWA KUONGEZA UHAKIKA WA HUDUMA YA MAJI.
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso,akizungumza wakati wa Mkutano wa Tisa wa mwaka wa Bodi za Maji za Mabonde nchini uliofanyika leo Januari 28,2026 ...
WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA WAPANDA MITI KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA SIKU YAKE YA...
Miti imekuwa muhimili muhimu katika ukuaji wa sekta ya viwanda na biashara kwani kupitia miti, viwanda hupata malighafi, biashara hukua, na uchumi huimarika.
Hayo yamesemwa...
SERIKALI YAENDELEA KUFUNGUA FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu akiwa ameshiriki katika Mkutano wa Mawaziri wa Kazi Duniani...
WAZIRI SANGU AHIMIZA DIASPORA KUCHANGIA KIKAMILIFU MAENDELEO YA TAIFA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Clement Sangu akizungumza na Viongozi wa Watanzania wanaoishi nchini Saudi...
JAMII YAASWA KUTOWAFICHA WAGONJWA WA UKOMA
Waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa ameiasa jamii kuachana na dhana potofu ya kuficha wagonjwa wa Ukoma na kujitokeza wanapobaini viashiria vya ugonjwa huo...
TBS WAWAFIKIA WANANCHI WA DODOMA , WAWAPA ELIMU MADHARA YA MATUMIZI HOLELA YA POMBE.
Na Mwandishi Wetu.
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetoa elimu kwa wananchi wa Mkoa wa Dodoma kuhusu madhara ya matumizi holela ya pombe, likilenga kuzuia...
WAZIRI KAPINGA:AJIRA MAELFU ZIMEZALISHWA KUPITIA VIWANDA NA BIASHARA SIKU 100 ZA SAMIA
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga,akizungumza na waandishi wa habari leo Januari 24,2026 katika Mji wa Kiserikali Mtumba jijini Dodoma kuhusu mafanikio...
SUDAN KUSINI YAOMBA USHIRIKIANO WA KIFORODHA NA TRA ILI KUTUMIA BANDARI ZA TANGA NA...
Mamlaka ya Mapato ya Sudan Kusini (SSRA) imeomba ushirikiano wa kiforodha na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) utakaoiwezesha kutumia Bandari za Tanga na Dar...
GSM GROUP YAENDELEZA KONGANI YA VIWANDA
Mradi wa Kilimanjaro Industrial Park umeendelea kuonyesha mchango mkubwa katika kukuza sekta ya viwanda na utoaji wa ajira, ambapo ukikamilika unatarajiwa kutoa ajira hadi...













