UJENZI WA KIWANDA CHA KUCHAKATA PAMBA SIMCU (2018) LTD WAFIKA ASILIMIA 75
Naibu Mrajis - Uhamasishaji, Consolata Kiluma, amekipongeza chama kikuu cha Ushirika SIMCU (2018) LTD, kwa usimamizi wa ujenzi wa ujenzi na ukarabati wa kiwanda...
MFUMO 20,000 ZA UMEME JUA VISIWANI KUGAWIWA KWA RUZUKU HADI ASILIMIA 75
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, amezindua mradi wa kusambaza mifumo ya umeme jua visiwani unaolenga kuweka mifumo 20,000 ya umeme jua katika...
ELIMU YA VIPIMO YAWAFIKIA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI DR. SAMIA DODOMA
Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) imetoa mafunzo ya vipimo kwa wanafunzi wa Dr. Samia Dodoma Secondary School, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuongeza...
MFUMO WA STAKABADHI GHALA WAONGEZA MAFANIKIO KWA WAKULIMA WA MARA
Wakulima wa zao la choroko wilayani Bunda mkoani Mara wameishukuru serikali kuja na mpango wa ununuzi wa mazao mchanganyiko kwa mfumo wa stakabadhi za...
JAFO ATANGAZA KUWEKA KAMBI ENEO LA UJENZI KUHARAKISHA MRADI KITOMONDO
Na Mwandishi Wetu
MBUNGE wa Jimbo la Kisarawe mkoani Pwani, Dkt. Selemani Jafo, ametangaza mpango wa kuweka kambi maalum katika eneo la ujenzi wa Daraja...
DKT.JAFO AWEZESHA ELIMU YA UFUNDI, AKABIDHI VYEREHANI VINNE CHUO CHA FDC KISARAWE-MZENGA
Na.Mwandishi Wetu
Taasisi ya Jafo Education Foundation imefadhili jumla ya vijana 51 kusoma katika Chuo cha FDC Kisarawe - Mzenga, kwa lengo la kuwawezesha kupata...
ZIARA YA WAZIRI MKUU ARUSHA KUKAGUA MIRADI YA BILIONI 194.2
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi mkoani Arusha kuanzia Februari 22 hadi...
DKT. MWIGULU AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE MPYA YA SEKONDARI MBATAKERO
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameweka jiwe la msingi la uzinduzi wa Shule ya Sekondari ya Mbatakero iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Hai, mkoani...











