Tuesday, April 14, 2026
Home 2026 February 20

Daily Archives: February 20, 2026

MAKAMU WA RAIS BALOZI NCHIMBI AKUTANA NA BALOZI WA QATAR

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar nchini Tanzania...

WAKULIMA WA PAMBA WASHAURIWA KUACHA KILIMO CHA MAZOEA NA KULIMA KWA TIJA ZAIDI

0
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anamringi Macha,akizungumza  katika Mkutano wa 8 Chama Kikuu Simiyu, SIMCU (2018) LTD, uliofanyika leo Februari 20, 2026 Wilayani...

MBUNGE MAKBEL AWANUFAISHA WANAFUNZI KWA MSAADA WA MADAFTARI TANGA

0
Na Boniface Gideon, Tanga Mbunge wa Jimbo la Tanga, Kassim Amary (Makbel), leo amekabidhi vifaa mbalimbali vya kuwasaidia wanafunzi kujisomea na kujifunzia kwa nadharia na...

SERIKALI KUWEKEZA NGUVU KATIKA KUNDI LA VIJANA

0
Kufuatia serikali kuwekeza nguvu kubwa katika kundi la vijana dhidi ya utoaji wa mikopo, Mbunge wa Jimbo la Musoma Mjini Mgore Miraji Kigera amewataka...

MARUFUKU KILIMO CHA BANGI WILAYA HII TAKATIFU, TUTAWAKAMATA – DC BUTIAMA

0
Mkuu wa Wilaya ya Butiama, Thecla Mkuchika, ameliagiza Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwachukulia hatua watu wote wanaojihusisha na kilimo cha bangi wilayani Butiama...

DC BUSEGA AHIMIZA NJIA HALALI ZA UTAJIRI KWA WANANCHI

0
Mkuu wa Wilaya ya Busega, Mhe. Faidha Salim, amewataka wananchi wilayani humo kuacha kutegemea imani za kishirikina katika kupata utajiri, badala yake waelekeze nguvu...

SERIKALI HAITAMVUMILIA MKANDARASI ATAKAYESABABISHA UCHELEWESHAJI WA MIRADI YA UCHUKUZI.

0
Serikali imesema imedhamiria kuharakisha utekelezaji wa miradi ya uchukuzi katika Mkoa wa Kigoma ili kuhakikisha inakamilika kwa wakati na kuchochea ukuaji wa uchumi na...

REA YABORESHA MAISHA MKOANI TANGA

0
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeendelea kuthibitisha kwa vitendo nia yake ya kujali na kuthamini wananchi kwa kuhakikisha inafikisha huduma nafuu ya umeme kwenye...

TBS WAANZISHA KLABU ZA VIWANGO MASHULENI ” TBS VIWANGO KLABU “, WALENGA KUFIKISHA ELIMU...

0
 Na Mwandishi Wetu. Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeanzisha Klabu ya Viwango itakayowahusisha wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kwa lengo la kuwajengea uelewa...