ICU MPYA HANDENI MJI KUPUNGUZA SAFARI YA KILOMITA 160 KUTAFUTA HUDUMA ZA DHARURA
Na mwandishi wetu
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Handeni, Maryam Ukwaju amesema mradi wa jengo la wagonjwa Mahututi katika Hospitali ya Halmashauri hiyo litakapokamilika litaondoa...
TBS WAZIDI KUTAMBULIWA KIMATAIFA , WAZIRI KAPINGA AJIVUNIA NA KUWAPONGEZA.
Na Mwandishi Wetu.
Leo Februari 13, 2026, Shirika la Viwango Tanzania TBS limekabidhiwa cheti cha ithibati ya umahiri wa mfumo wa ukaguzi kwa kiwango cha kimataifa (ISO/IEC...
WAZIRI KIKWETE:ZINGATIENI MAADILI YA UTENDAJI, DHAMANA YENU NI KUBWA KWA MASLAHI MAPANA YA TAIFA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na Wanataaluma ya Menejimenti ya Taarifa,...






