Tuesday, April 14, 2026
Home 2026 February 28

Daily Archives: February 28, 2026

MKAA MBADALA MKOMBOZI MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KWA WATANZANIA

0
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa kutumia teknolojia mbalimbali ikiwemo matumizi ya mkaa mbadala unaozalishwa nchini...

ZAIDI YA MILIONI 300 ZATUMIKA KUNUNUA VIFAA VYA ELIMU NA AFYA BUNDA NA SERENGETI

0
Zaidi ya shilingi milioni mia tatu zimetumika kununua vifaa tiba na vifaa vya elimu, ikiwemo madawati zaidi ya elfu tatu pamoja na kompyuta, katika...

TAWA YAKABIDHI VIFAA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 362 KWA WILAYA ZA SERENGETI NA...

0
Na. Joyce Ndunguru, Mara. Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa kushirikiana na Kampuni ya Grumeti Reserve Ltd imekabidhi vifaa mbalimbali yakiwemo Madawati 3,015,...

KITETO WAAHIDIWA KUPATIWA MWENYEKITI WA BARAZA LA ARDHI NA NYUMBA LA WILAYA

0
Na Munir Shemweta, KITETO Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo ameahidi kupelewa kwa Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na...

TANZANIA YAPEWA PONGEZI UUNDWAJI WA TUME YA UCHUNGUZI

0
Pongezi hizo zimetolewa katika taarifa ya Kamishna Mkuu wa Baraza la Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Volker Turk wakati wakutoa taarifa inayoangazia...