Home 2024
Yearly Archives: 2024
RC MTAMBI AWATAKA WANANCHI KUJIANDAA USHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara Kanali Evans Alfred Mtambi amewataka wananchi kujiandaa na ushiriki wa uchaguzi wa serikali za mitaa
Kauli hiyo ameitoa...
TANZANIA KUIMALISHA ZAIDI USALAMA WA USAFIRI KWA NJIA YA MAJI KUINUA UCHUMI
Na Shomari Binda-Musoma
TANZANIA imekusudia kuimalisha zaidi usalama wakati wa matumizi ya usafiri majini kwenye bahari na ziwa.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Mawasiliano, Ujenzi na...
WAZIRI MKUU MSTAAFU JOHN MALECELA NA MBUNGE WA JIMBO LA SAME MASHARIKI WAFANYA ZIARA...
Na Dickson Mnzava, Same.
Mhe Makamu mwenyekiti wa ccm Tanzania bara na Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Jonh Malecela mguu...
TANZANIA WENYEJI WA MICHUANO MIKUBWA YA MCHEZO WA CRICKET , TIMU MBILI KUFUZU KUSHIRIKI...
Na Mwandishi Wetu
MICHUANO ya mchezo wa Cricket ya kufuzu Kombe la Dunia la T20 kwa Wanaume, ICC Kanda A ya Afrika, inaendelea kutimua vumbi...
SHIRIKISHO LA BODABODA NA BAJAJI WATOA MSIMAMO “HATUTA SHIRIKI MAANDAMANO”
Shirikisho la waendesha bodaboda na bajaji Nchini Tanzania leo Septemba 22, 2024 wametoa msimamo wa kutokushiriki maandamano ambayo yamepangwa kufanyika siku ya Septemba 23,...
RAC TANGA BATILDA BURIHANI ATOA WITO KWA WAKAZI WA TANGA NA WANANCHI KUTEMBELEA VIVUTIO...
Na Ashrack Miraji Lushoto Tanga
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Batilda Burihani ametoa wito kwa wakazi Mkoani Tanga na watanzania kwa ujumla kujenga tabia...
TANROADS YATANGAZA TENDA KILOMITA 40 MUENDELEZO UJENZI BARABARA YA MUSOMA-MAKOJO-BUSEKERA
Na Shomari Binda-Musoma
SERIKALI kupitia Wakala wa Barabara nchini ( TANROADS ) imetangaza tenda ya muendelezo wa ujenzi wa barabara ya Musoma-Makojo-Busekera yenye jumla ya...
MWIGOBERO FC YATINGA NUSU FAINALI POLISI JAMII CUP MUSOMA KWA KISHINDO
Na Shomari Binda-Musoma
TIMU ya Mwigobero fc imetinga hatua ya nusu fainali kwa kishindo baada ya kuifunga timu ya Musoma Boys mabao 5-1 kwenye mfululizo...
TIGO ZANTEL WASHIRIKIANA NA SERIKALI YA ZANZIBAR KUFANYA MAPINDUZI HAYA MAKUBWA YA KIDIGITALI
Na Mwandishi Wetu
Zanzibar, 19 Septemba 2024 — Katika hatua muhimu kuelekea kuboresha utawala wa kidigitali, Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar (eGAZ) kwa kushirikiana na...
DC KUBECHA AMALIZA MGOMO WA DALADALA MWAHAKO, MKOANI TANGA
Na Ashrack Miraji (Tanga)
Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Mhe. Japhari Kubecha, leo Septemba 19, 2024 amemaliza mgomo wa daladala zinazofanya safari kati ya Chalinze,...















