Home 2024
Yearly Archives: 2024
DC CHIKOKA AMSHUKURU RAIS DKT.SAMIA KULING’ARISHA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI KWA TAA ZA BARABARANI
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa Wilaya ya Musoma Juma Chikoka amemshukuru Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kuling'arisha jimbo la Musoma vijijini kwa mwanga wa taa...
WATUMIAJI WA MTANDAO WA AIRTEL KUNUFAIKA HUDUMA MPYA.
Na Lookman Miraji.
Kampuni ya mtandao wa mawasiliano nchini ya Airtel imezindua rasmi kampeni mpya ambayo itawanufaisha watumiaji wa mtandao huo hapa nchini.
Kampeni hiyo ijulikanayo...
MBUNGE SAME MASHARIKI ANNA KILANGO ATOA MILIONI MOJA KUKAMILISHA UJENZI WA CHOO CHA WANAFUNZI...
na Dickson Mnzava, Same.
Mbunge wa Jimbo la Same mashariki Anna kilango Malecela ametoa kiasi cha milioni moja kwaajili ya kukamilisha ujenzi wa choo cha...
SERIKALI YAWEKA REKODI NYINGINE MPYA YA HUDUMA YA MAJI WANANCHI WATOA KONGOLE KWA MAMA...
Na Dickson Mnzava, Same.
SHANGWE NDEREMO VYATAWALA KWA WANANCHI WA MROYO,KIZANGAZE KIJIJI CHA MPIRANI BAADA YA KUPATA HUDUMA YA MAJI SAFI NA SALAMA.
Zaidi ya wananchi...
MBUNGE WA LUSHOTO AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA AMBAO UNATARAJIA KUFANYIKA...
Na Ashrack Miraji, (Fullshangwe Media)
Mbuge wa Jimbo la Lushoto Mhe Alhaj Shabani Omary Shekirindi amewasihi wananchi wa Jimbo hilo kushiriki kikamilifu kwenye uchaguzi wa...
KIKWETE AIPONGEZA TIMU YA SIMBA KWA KUINGIA HATUA YA MAKUNDI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete awapongeza timu ya Simba kwa kuingia hatua ya makundi...
REA KUSAMBAZA UMEME VITONGOJI 135 MKOANI PWANI,KWA GHARAMA YA BIL 14.9
WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) umeanza usambazaji wa umeme katika vitongoji awamu ya pili (HEP II) ambapo utapeleka umeme kwenye vitongoji 135 kwenye majimbo...
MSHIKAMANO FC YATINGA FAINALI POLISI JAMII CUP 2024 MUSOMA
Na Shomari Binda-Musoma
TIMU ya Mshikamano fc imetinga fainali ya michuano ya Polisi Jamii Cup 2024 Musoma kwa kuifunga timu ya Kigera fc kwa changamoto...
DC SAME AELEZA JITIHADA ZA KUENDELEZA UTALII NA UHIFADHI
Na Ashrack Miraji Kilimanjaro
Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda J. Mgeni, amefungua milango ya maendeleo ya utalii kwa kumkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa Wizara...
KIGERA FC,MWIGOERO FC,MARA SPORTS NA MSHIKAMANO FC ZAFUZU NUSU FAINALI POLISI JAMII CUP 2024...
Na Shomari Binda-Musoma
TIMU 4 za Kigera rc,Mwigobero fc,Mara Sports na Mshikamano fc zimefuzu hatua ya nusu fainali ya mashindano ya Polisi Jamii Cup 2024...














