Wednesday, October 28, 2026
FAHARI AFYA
Home 2024

Yearly Archives: 2024

MBUGE SHABANI SHEKIRINDI AWAONYA WANAOCHONGANISHA WANANCHI NA SERIKALI

0
Na Ashrack Miraji Lushoto Tanga MBUNGE wa Jimbo la Lushoto mkoani Tanga, Shabani Shekilindi ametoa onyo kwa watu ambao wanachonganisha wananchi na Serikali. Shekilindi ametoa...

MRADI WA MAJI YA BOMBA WA KATA YA TEGERUKA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI WAENDELEA...

0
Na Shomari Binda-Musoma MRADI wa maji ya bomba kutoka ziwa victoria uliopo Kata ya Tegeruka jimbo la Musoma vijijini umeendelea kushika kasi kuweza kuukamilisha. Kukamilika kwa...

VIONGOZI CCM MUSOMA WASHIRIKI ” JOGGING “ILIYOANDALIWA NA DC CHIKOKA

0
Na Shomari Binda-Musoma VIONGOZI wa Chama cha Mapinduzi(CCM) Wilaya Musoma mjini wamekuwa miongoni mwa wananchi waliojitokeza kushiriki mazoezi ya" jogging" yaliyoandaliwa na mkuu wa Wilaya...

DC SAME AMEWAPONGEZA WAKAZI WA KATA YA MABILIONI KUMUUNGA MKONO MHE RAIS DKT SAMIA...

0
Na Ashrack Miraji Same Kilimanjaro Mkuu wa Wilaya ya Same Kasilda Mgeni amewapongeza Wakazi wa Kitongoji cha Kiruwa kilichopo Kijiji cha Ruvu Mbuyuni Kata ya...

BAKHRESA NA EQUITY BENKI WAJA NA FURSA YA MIKOPO KWA WAFANYA BIASHARA

0
 Na Mwandishi Wetu. BENKI ya Equity imesema wafanyabiashara ambao wanatumia bidhaa za kampuni ya Bakhresa kwa sasa wanauwezo wa kupata MKOPO wa Bidhaa za UNGA...

DC CHIKOKA KUONGOZA “JOGGING” YA WANANCHI MUSOMA KUJENGA AFYA KESHO

0
Na Shomari Binda-Musoma MKUU wa Wilaya ya Musoma Juma Chikoka kesho jumamosi septemba 28 ataongoza mbio za polepole" Jogging" ya kujenga afya kwa wananchi. Mbio hizo...

Timu ya Neitboli ya Wizara ya Maliasi na Utalii Yafuzu Hatua ya Robo Fainali...

0
Na. John Bera, Morogoro Timu ya netiboli ya Wizara ya Maliasili na Utalii leo Septemba 27, 2024 imeandika historia kwa kufuzu kwa mara ya kwanza...

MAJI, UZIO BADO TATIZO JOKATE MWEGELO SEKONDARI

0
Kukosekana kwa chanzo cha uhakika cha Maji kimetajwa kuwa kero sugu inayoikabili shule ya Sekondari ya Wasichana ya Jokate Mwegelo (Kisarawe) kufuatia ongezeko la...

SERIKALI YAKUBALI KUPANDISHA HADHI CHUO CHA VETA MUSOMA

0
Na Shomari Binda-Musoma SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia imekubali ombi la mbunge wa jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo kupandisha chuo cha...

NI MWENDO WA MAENDELEO TU,SAME MASHARIKI KUJENGWA SEKONDARI YA UFUNDI MBUNGE NA WANANCHI WA...

0
Na Dickson Mnzava, Same. Mbunge wa Jimbo la Same mashariki Mkoani Kilimanjaro mheshimiwa Anne kilango Malecela ametoa shukrani zake kwa serikali ya awamu ya sita...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA