Wednesday, October 28, 2026
FAHARI AFYA
Home 2024

Yearly Archives: 2024

WAZIRI CHANA AZINDUA NEMBO YA ASALI YA TANZANIA

0
Na Happiness Shayo-TABORA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua nembo ya asali ya Tanzania itakayotumika kuitambulisha bidhaa hiyo katika...

KATIBU CCM MARA AFUNGUA KAMBI YA MAFUNZO YA VIJANA UVCCM NA KUTOA UJUMBE

0
Na Shomari Binda-Butiama KATIBU wa Chama cha Mapinduzi ( CCM) mkoa wa Mara Ibrahim Mjanakheri amewataka vijana kujiepusha na wale waotaka kuwatumia vibaya kuvuruga amani...

TBS WATOA ELIMU KWA WANANCHI NA WAZALISHAJI WA BIDHAA MAONESHO YA TIMEXPO 2024

0
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa elimu ya viwango kwa wafanyabiashara,wenye viwanda na wananchi kwa ujumla katika Maonesho ya Wazalishaji wa Bidhaa za...

NLD YAITAKA SERIKALI KUONGEZA MUDA WA KAMPENI,YAZIBOMOA NGOME ZA ACT,ADC

0
Na Boniface Gideon, TANGA Chama cha National League for Democracy (NLD) kimewasilisha ombi kwa serikali kuhusu kalenda ya uchaguzi iliyotolewa na Tamisemi,chama hicho kimeitaka Serikali...

SERIKALI YAPONGEZA KASI NA USIMAMIZI WA MIRADI YA MAENDELEO MKOANI MARA

0
Na Shomari Binda-Musoma SERIKALI imepingeza kasi na usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa mkoani Mara ikiwemo ya elimu,afya,maji na miundombinu. Pongezi hizo zimetolewa leo oktoba...

DC SAME AMEWATAKA WASIMAMIZI NA WASAIDIZI WA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUJIEPUSHA NA...

0
Ashrack Miraji Kilimanjaro Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Kasilda Mgeni amewataka wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa mwaka 2024...

WANAMICHEZO WA MALIASILI WAPONGEZWA KWA KUTANGAZA UTALII KWENYE MASHINDANO YA SHIMIWI 

0
Na. John Bera Watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii ambao ni wanamichezo, wamepongezwa kwa jitihada zao za kuutangaza Utalii kwenye Mashindano ya Shirikisho la...

WANANCHI 119 KUTOKA ENEO LA HIFADHI YA NGORONGORO WAPOKELEWA NA KUKABIDHIWA MAKAZI YAO MSOMERA

0
Na Mwandishi wetu, HandeniTanga. Jumla ya kaya 26 zenye watu 119 na mifugo 300 zilizokubali kuhama kwa hiari kutoka ndani ya Eneo la Hifadhi ya...

MHESHIMIWA ANNE KILANGO AZINDUA SHINA LA TAWI UVCCM KADANDO MAORE.

0
Na Dickson Mnzava, Same. Mbunge wa Jimbo la Same mashariki Mkoani Kilimanjaro Anne kilango Malecela amezindua shina la umoja wa vijana UVCCM Katika kijiji cha...

KITUO CHA DHARURA ZIMAMOTO KUJENGWA SAME..

0
Na Ashrack Miraji Kilimanjaro SERIKALI kupitia Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi ipo mbioni kuanza ujenzi wa vituo vya dharura vya zimamoto katika Wilaya...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA