WANANCHI NYATWALI WAMUAHIDI RC MTAMBI MATUMIZI SAHIHI FEDHA ZA FIDIA
Na Shomari Binda- Bunda
WANANCHI wa Kata ya Nyatwali wilayani Bunda wamemuahidi mkuu wa mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambj matumizi sahihi ya fedha za...
DC RUFIJI ALA KIAPO, RC KUNENGE ATOA MAAGIZO
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amewaagiza Wakuu wa Wilaya wa mkoa huo kufanya kazi kwa kushirikiana kulingana na uwezo wao, huku wakifanya...
WIZARA YA MALIASILI YAZIDI KUWA TISHIO KWENYE MICHEZO YA KIRAFIKI KUELEKEA SHIMIWI 2024
Na. John Bera - Dodoma.Wizara ya Maliasili na Utalii imeibuka mshindi kwenye michezo mitatu ya kirafiki iliyochezwa leo kwenye Viwanja vya Vijana vilivyopo Jijini...
UJENZI WA MAABARA TATU ZA MASOMO YA SAYANSI JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI WASHIKA KASI
Na Shomari Binda-Musoma
UJENZI wa maabara 3 za masomo ya sayansi kwenye shule za sekondari jimbo la Musoma vijijini ili kuwafanya wanafunzi kusoma masomo hayo.
Kasi...
DC SAME AKABIDHI VYETI KWA TAASISI AMBAZO ZIMEFANYA VIZURI KWENYE UKUSANYAJI MAPATO
Na Ashrack Miraji Same Kilimanjaro
Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro imetoa vyeti vya pongezi kwa Taasisi ambazo zimefanya vizuri kwenye ukusanyaji...
KUBECHA AINGIA KWA KISHINDO TANGA, ZIARA ZAKE KWENYE TAASISI ZA DINI ZAWAFURAHISHA WANATANGA
Ashrack Miraji Tanga
Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Mhe. Japhari Kubecha, ameanza ziara zake za kukutana na makundi mbalimbali ya kijamii, zikiwemo taasisi za kidini.
Mhe....
CCM YARIDHISHWA UTENDAJI KAZI NA UFATILIAJI MIRADI YA TANROADS MKOA WA MARA
Na Shomari Binda-Musoma
CHAMA cha Mapinduzi CCM kimedai kuridhishwa na utendaji kazi na ufatiliaji miradi ya barabara inayofanywa na Wakala wa Barabara Tanroads mkoa wa...
TDSA YAJA NA ‘AFYA JUMUISHI’ KUPUNGUZA TATIZO AFYA YA KINYWA NCHINI.
Na Boniface Gideon -TANGA
Taasisi ya Wanafunzi wa meno Tanzania 'TDSA',imesema kwasasa imeamua kutambulisha mfuko mpya wa lugha za utoaji wa huduma zinazojulikana kama 'Afya...













