WATUHUMIWA 16 WA MAKOSA YA KUBAKA NA KULAWITI MKOA WA MARA WAPEWA ADHABU
Na Shomari Binda-Musoma
JUMLA ya watuhumiwa 16 wa makosa mbalimbali ya ubakaji na kulawiti wametiwa hatiani kwa kupewa adhabu mbalimbali ikiwemo ya kifungo cha maisha...
MTEGO ULIOMNASA HOUSE BOY
Jina langu ni Sam, nilioana na mke wangu kwa miaka sita iliyopita na tukazaa mtoto mmoja wa kiume ambaye alibadilisha maisha yetu kwa kiasi...
MIKASA MIWILI AMBAYO SITOISAHAU MAISHANI MWANGU.
Naitwa Kelvin kutokea Masai Mara. Miaka miwili iliyopita, nilikuwa nimeajiriwa na kampuni ya utalii. Nilikuwa nafanya kazi vizuri hadi wakubwa wa kazi wakafurahishwa na...
DKT MWIGULU, WAZIRI AWESO NA MBUNGE CHEREHANI WASHUHUDIA UTIAJI SAINI MRADI WA MAJI ZIWA...
Na Mathias Canal, Ushetu-Kahama
Waziri wa Fedha Mhe Dkt Mwigulu Nchemba, Waziri wa Maji Mhe. Juma Aweso na Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe. Emmanuel...
TAASISI YA MSAADA WA KISHERIA AFRIKA (ALSF) KUWAJENGEA UWEZO WANASHERIA NCHINI
Na Ramadhani Kissimba na Farida Ramadhani, WF - Nairobi
Serikali ya Tanzania imeishukuru Taasisi ya Msaada wa Kisheria Afrika (ALSF) chini ya Benki ya Maendeleo...
WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT SAMIA MAZIKO YA MAMA WA JAJI MKUU
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Juni Mosi, 2024 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mazishi ya Bibi Amina Nyanda Juma ambaye ni Mama...
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA...
Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3.00 usiku wa leo tarehe: 01/06/2024
https://youtu.be/pabIthTC-uA
WASANII WA TANZANIA NA KOREA KUCHEZA FILAMU KWA PAMOJA
Sekta ya Filamu nchini Jamhuri ya Korea imeahidi kushirikiana na sekta ya filamu nchini Tanzania ili iweze kuzalisha filamu zenye viwango vya Kimataifa zitakazovutia...













