Saturday, July 27, 2024
Home 2024 May 17

Daily Archives: May 17, 2024

DC – KHERI JAMES AFUNGUA MKUTANO WA TANESCO NA WAKANDARASI.

0
Mkuu wa wilaya ya Iringa Mhe. Kheri James mapema leo amefungua mkutano wa kimkakati baina ya TANESCO na Wakandarasi wenye leseni za umeme mkoani...

UWEPO WA KIMBUNGA “IALY” KATIKA BAHARI YA HINDI KASKAZINI MWA MADAGASCAR

0
Watumiaji wa bahari na wananchi kwa ujumla wanashauriwa kuendelea kufuatilia na kuzingatia taarifa za utabiri kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) pamoja...

SERIKALI ITAENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU SEKTA YA AFYA

0
Na Magrethy Katengu - Dar es salaam Serikali itaendelea na jitihada za kuhakikisha inajenga vituo vingi vya afya na kuboresha miundombinu ikiwemo vifaa tiba na...

TIGO WAWAKUMBUKA WAATHIRIKA WA MAFURIKO KARATU

0
Meneja Mauzo wa Kanda ya Kaskazini, Daniel Mainoya akakibidhi baadhi ya vifaa,vilivyo tolewa na kampuni ya mawasiliano Tigo, kwa Mkuu wa Wilaya ya Karatu,...

SMAUJATA WATAKIWA KUONGEZA UBUNIFU ZAIDI WANAPOFIKISHA ELIMU NA UJUMBE KWA JAMII

0
Na Shomari Binda-Musoma MASHUJAA wa Maendeleo na Ustawi wa Jamii Tanzania (SMAUJATA) wametakiwa kuongeza ubunifu zaidi wanapofikisha ujumbe kwa jamii. Kauli hiyo imetolewa na Kaimu Katibu...

MAJALIWA: MICHEZO NI NYENZO MUHIMU INAYODUMISHA AMANI

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ushirikiano katika michezo ni nyenzo muhimu katika kudumisha diplomasia na amani miongoni mwa nchi washirika wa Baraza la Michezo...

PATA GB 1 BURE UKIPAKUA SUPER APP YA TIGO PESA ILIYOBORESHWA ZAIDI , SOMA...

1
 Na Mwandishi Wetu Kadili siku zinavyozidi kusonga ndivyo teknolojia nayo inavyozidi kushika kasi na hapo ndipo Kampuni ya mtandao wa simu ya Tigo ilipoamua kuja...

SERIKALI HAITOZI KODI WANAOBEBA MIZIGO BINAFSI KATI YA TANZANIA BARA NA ZANZIBAR

0
Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma. Serikali imesema kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) haitozi kodi kwa wasafiri kati ya Zanzibar na Tanzania bara wanaobeba vitu kwa...

IMF YARIDHISHWA NA NAMNA TANZANIA INAVYOTEKELEZA MPANGO WA ECF

0
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amelihakikishia Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwamba, Serikali itaendelea kufanya maboresho ya sera na...

HOSPITALI ZOTE ZATAKIWA KUBORESHA MFUMO WA TEHAMA KURAHISISHA WAGONJWA KUONANA NA DAKTARI BILA KUPANGA...

0
Na Magrethy Katengu-Dar es salaam KATIBU Mkuu Wizara ya Afya Dkt. John Jingu amezitaka hospitali nchini kuboresha huduma zao kwa kufanya miadi ya wagonjwa ya...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma May 17, 2024,
Karibu Tukuhudumie..