Saturday, July 27, 2024
Home 2024 May 21

Daily Archives: May 21, 2024

MSITUMIE DAWA KIHOLELA – WAZIRI UMMY MWALIMU

0
Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini Mhe Ummy Mwalimu ameitaka jamii kuacha matumizi ya dawa za Kutibu maambukizi ya bacteria...

Aapa kufikia Ndoto yake asaidie kina Mama na watoto

0
MWANAFUNZI anayehitimu kidato cha sita kwenye shule ya sekondari Loreto Jijini Mwanza ameapa kutimiza ndoto yake ili aweze kuwa mtatibu wa magonjwa ya akina...

MAJALIWA: VYOMBO VYA HABARI VIJIEPUSHE NA TAARIFA ZA UCHOCHEZI

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka mamlaka zinazohusika na usimamizi wa sekta ya habari ziendelee kusimamia vyombo vya habari vizingatie maadili na kujiepusha na uchapishaji...

NAIBU WAZIRI SILINDE ATOA TAMKO WENYE MADENI YA CHAI

0
NAIBU Waziri wa Kilimo, David Silinde ameagiza wamiliki wa viwanda mbalimbali nchini vya chai kuhakikisha wanalipa madeni ya wakulima wa chai na Bodi ya...

MAJALIWA: VYOMBO VYA HABARI VIJIEPUSHE NA TAARIFA ZA UCHOCHEZI

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka mamlaka zinazohusika na usimamizi wa sekta ya habari ziendelee kusimamia vyombo vya habari vizingatie maadili na kujiepusha na uchapishaji...

HABARI NJEMA KWA WAPENZI WA SOKA , UNAWEZA JISHINDIA TIKETI YA KUSHUHUDIA EURO CUP...

0
Afisa Mkuu wa Tigo Pesa Bi. Angelica Pesha (Katikati)  akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Parimatch Tanzania, Levis Paul (Kushoto)...

FCS, VODACOM FOUNDATION WASAINI MKATABA WENYE THAMANI YA MILIONI 150

0
Shirika la The Foundation for Civil Society (FCS), na  Vodacom Tanzania Foundation wamesaini makubaliano ya mkataba wa mwaka mmoja wenye thamani ya Shilingi...

SOMA MAGAZETI YA LEO JUMANNE MEI 21, 2024

0
Soma kurasa za mbele za magazeti mbalimbali ya Tanzania. Pia unaweza kutoa maoni yako kuhusiana na kurasa zetu.
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma May 21, 2024,
Karibu Tukuhudumie..