Saturday, July 27, 2024
Home 2024 May 3

Daily Archives: May 3, 2024

WIZARA YA KILIMO YAHITIMISHA BAJETI YAKE KWA KISHINDO MEI 03, 2023

0
Wizara ya Kilimo imehitimisha bajeti yake kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 Bungeni jijini Dodoma kwa kishindo kikubwa. Bajeti hiyo ya zaidi ya shilingi Trilioni 1.24...

ZINGATIENI TAARIFA ZA TMA – WAZIRI JENISTA MHAGAMA

0
Wananchi wametakiwa kuchukua tahadhari kubwa na kuendelea kufuatilia na kuzingatia taarifa za utabiri na tahadhari kutoka mamlaka ya hali ya hewa Nchini Tanzania (TMA)...

MWENENDO WA KIMBUNGA “HIDAYA” KATIKA BAHARI YA HINDI MASHARIKI MWA PWANI YA TANZANIA

0
Na Mwandishi wetu --Dar es salaam Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga"HIDAYA' kilichopo katika Bahari ya Hindi...

RAIS SAMIA ATOA BIL 5 KUREJESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA NA MADARAJA – LINDI

0
Mvua kubwa za El-Nino zilizonyesha zimeleta athari maeneo mbalimbali hapa Nchini ikiwemo katika Mkoa wa Lindi ambapo zimesababisha uharifu mkubwa wa miundombinu ya barabara...

MIAKA MITATU YA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSANI MWAKIPOSA AFUNGUKA

0
Na Mwandishi Wetu-Dar es salaam Mwenyekii wa Mtaa wa Dovya Kata ya Bunju Manispaa ya Kinondoni Anasisye Lazarus Mwakiposa amesema kuwa miaka Mitatu ya Uongozi...

UWEKAJI NGUZO ZA ZEGE MKONDO WA MTO RUFIJI WASAIDIA KUZUIA ATHARI KUBWA ZA MAFURIKO...

0
Licha ya mvua kubwa mwaka huu zilizosababisha mafuriko katika wilaya ya Rufiji mkoani Pwani Shirika la umeme Tanzania TANESCO limesema ubadilishaji wa nguzo kwa...

WANANCHI WAHIMIZWA KUHAMA MAENEO HATARISHI

0
NA. MWANDISHI WETU Wananchi wamehimizwa kuendelea kuchukua tahadhari na kuondoka katika maeneo hatarishi yenye viashiria vya kuathiriwa na maafa ili kuendelea kuwa na jamii salama...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma May 3, 2024,
Karibu Tukuhudumie..