Saturday, July 27, 2024
Home 2024 April

Monthly Archives: April 2024

WAKAZI 6,453 KUNUFAIKA NA CHANZO CHA MTO MNGAZI

0
Wakazi 6,453 wa vijiji vya Mngazi na Dakawa katika Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro wanatarajia kunufaika na mradi wa uhifadhi wa chanzo cha mto...

WATUMISHI WA MALIASILI NA UTALII WAPONGEZWA KWA KUSHIRIKI MASHINDANO YA MEI MOSI 2024 JIJINI...

0
Watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii wamepongezwa kwa kuwa ni miongoni mwa wanamichezo, walioshiriki Mashindano ya Mei Mosi kwa mwaka 2024 ambapo zaidi...

MSD YA TANZANIA YAVUTIA SIERRA LEONE KUJA KUJIFUNZA NAMNA YA UTOAJI HUDUMA BORA NCHINI...

0
Na Magrethy Katengu---Dar es salaam Bohari ya Dawa Nchini Tanzania (MSD) imepokea ujumbe kutoka Bohari ya Dawa ya Sierra leone uliokuja kujifunza namna ya kuboresha...

VIONGOZI WA CCM MUSOMA MJINI WAMSHUKURU MBUNGE MATHAYO KUWEZESHA MAFUNZO VETA

0
Na Shomari Binda-Musoma VIONGOZI 64 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na jumuiya zake kutoka Wilaya ya Musoma mjini wamemshukuru mbunge wa jimbo la Musoma mjini...

SHEKH WALID AONGOZA WANANCHI DAR KUFARIJI WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI

0
Baraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limeungana na Watanzania wengine nchini kushiriki katika dua ya kuwaombea ikiwemo kuwatembelea na kugawa misaada mbalimbali Waathirika wa...

MSITHA AHIMIZA AAT KUWAWEKA KARIBU WADAU KUDHAMINI MASHINDANO YA MBIO ZA MAGARI

0
BARAZA la Michezo Nchini (BMT) limeahidi kushirikiana bega kwa bega na Shirikisho la Mbio za Magari (AAT) Kuhakikisha wadau wanaunga mkono mchezo huo. Akizungumza na...

NAIBU WAZIRI MKUU ATEMBELEA BANDA LA TIGO , MAADHIMISHO YA USALAMA NA AFYA KAZINI

0
Mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Kimataifa ya Usalama na Afya mahala pa kazi , Naibu Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Doto Biteko akipata...

SHIWACHANDO KAGERA YAWAHIMIZA WANAUME KUYARIPOTI MATUKIO YA UKATILI YANAYOWAKUMBA KATIKA NDOA

0
Theophilida Felician Kagera. Shirika la wanaume wanaopitia changamoto mbalimbali kwenye maisha ya ndoa limetoa wito kwa wanaume Mkoa Kagera wajitokeze wazi kuziripoti changamoto za ukatili...

SERIKALI YATOA BIL 1.5 UREJESHAJI MIUNDOMBINU YA BARABARA MWANZA

0
Serikali imetoa shilingi Bilioni 1.5 kwa ajili ya kuanza urejeshaji wa miundombinu ya barabara zilizoharibika maeneo mbalimbali Mkoani Mwanza. Fedha hizo zimetolewa na serikali kwenda...

MWENYEKITI WAZAZI WA CCM TAIFA AKABIDHI MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI NA KIBITI

0
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ni mfariji Mkuu nchini amekuwa wa kwanza kutoa misaada ya faraja kwa waathirika wa matukio mbalimbali nchini ikiwemo waathirika...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma April 2024,
Karibu Tukuhudumie..