HATUTORUHUSU UTAPELI KATIKA ZOEZI LA KUHAMA KWA HIYARI KWA WANACHI WA NGORONGORO- DC MSANDO
Na Mwandishi wetu, Handeni.
Mkuu wa Wilaya ya Handeni mheshimiwa Wakili Albert Msando amesema serikali haitoruhusu mtu yeyote kufanya vitendo vya utapeli na udanganyifu katika...
TAARIFA KUHUSIANA NA MADAI YA WANANCHI 135 WALIOHAMIA MSOMERA
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imetoa ufafanuzi kwa umma kuhusiana na madai ya wananchi 135 waliohamia katika kijiji cha Msomera wilayani Handeni mkoani Tanga...
ASILIMIA 90 YA WASTAAFU NCHINI HUPOTEZA MAFAO YAO KWA KUWEKEZA BILA UZOEFU
Na. Scolastica Msewa, Dar es Salaam Asilimia 90 ya Wastaafu nchini hupoteza fedha zao za mafao kwa sababu ya kuwekeza fedha zao wakiwa...
MALAIGWANAN WAKATA SHAURI KUHAMA HIFADHI NGORONGORO
Na Mwandishi wetu, Ngorongoro.
Baadhi ya Wazee wa kimila (Malaigwanan) kutoka ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro wamekata shauri na kuamua kuondoka ndani ya hifadhi hiyo...
MAKAMU WA RAIS AKIWASILI ARUSHA KUSHIRIKI KUMBUKIZI YA SOKOINE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda wakati alipowasili mkoani Arusha kwaajili...