Wednesday, May 29, 2024
Google search engine
Home 2024 April 8

Daily Archives: April 8, 2024

WALIMU 65 WANUFAIKA NA MAFUNZO YA TEHAMA KUPITIA KLABU YA ROTARY DAR

0
WALIMU waaswa kuweka muda wa ziada kujiendeleza kielimu hasa katika fani ya Masomo ya tehama ili kuweza kuwafundisha wanafunzi Mashule kwa kisasa zaidi na...

DKT.NCHIMBI AKITAKA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWL. NYERERE KUSIMAMIA MAADILI YA TAIFA

0
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Dkt. Emmanuel Nchimbi amekitaka Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kuendelea kusimamia Maadili ya Taifa, Kama ambavyo Muasisi...

TUENDELEE KUUTHAMNI MUUNGANO WETU-MAJALIWA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wote, Bara na Visiwani waendelee kuulinda, kuuenzi, kujivunia na kuuthamini Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. “Kwa heshima na taadhima...

ARSO NA TBS WAWAKUTANISHA WATAALAM KUANDAA VIWANGO SEKTA YA AFYA AFRIKA.

0
SHIRIKA la Viwango Afrika (ARSO) kwa kushirikiana na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wamewakutanisha wataalamu wa masuala ya afya kutoka nchi 11 barani Afrika...

MADEREVA BODABODA MUHEZA WAFIKIWA NA ELIMU YA USALAMA BARABARANI

0
Na Mwandishi Wetu,Muheza ELIMU ya Usalama barabarani inayotolewa na Shirika la Amend kwa kushirikiana na Ubalozi wa Uswisi nchini Tanzania imewafikia madereva bodaboda wa Wilaya...

JINSI NILIVYOTAPELIWA FEDHA NILIZOKUSANYA KWA MIAKA MITANO

0
Jina langu ni Zabloni, unajua migogoro ya mashamba na viwanja ni mingi sana kwenye mahakama zetu, na yote inasababishwa na watu ambao si waaaminifu,...

NAIBU WAZIRI NDERIANANGA AONGOZA DUA YA KUMUOMBEA RAIS SAMIA

0
Na. Mwandishi wetu- Dodoma Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga ameongoza dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma April 8, 2024,
Karibu Tukuhudumie..