Wednesday, May 6, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

ATCL KUONGEZA IDADI YA SAFARI ZAKE

0
Na Magreyn Katengu Shirika la ndege Tanzania (ATCL) linatarajia kuongeza idadi ya safari kutoka safari 4 hadi kufikia 5 kwa wiki ifikapo mwezi Octoba mwaka...

KLM Airline WABORESHA VITI VYAKE VYA DARAJA LA BIASHARA KATIKA B777-300/200

0
 *** Ikianzia kwenye Viti, inajumuisha teknolojia zote zinazohusiana, kwa wastani ni asilimia 10 - 15, jambo linaloendana na ajenda ya Uendelevu ya KLM. *** Viti...

TANZANIA KWA MARA NYINGINE MWENYEJI WA MUSIC ACCES 2023, NOVEMBA 9-11

0
Na Magrethy Katengu Wasanii wameshauriwa kutumia fursa zinazojitokeza ikiwemo majukwaa mbalimbali, mikutano midahalo na makongamano kwani huwasaidia kupata fusra ya kupata masoko ya kazi zao...

MADAKTARI BINGWA WA MACHO WAWEKA KAMBI MBARALI KUFANYA UPASUAJI MTOTO WA JICHO

0
Na. Majid Abdulkarim, Mbarali Madaktari Bingwa wa macho wameweka kambi ya wiki moja Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya kwa ajili ya kuwatafuta wagonjwa wenye matatizo...

MSD YATAKIWA KUONGEZA KASI YA USAMBAZAJI WA BIDHAA ZA DAWA.

0
Na WAF, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na masuala ya UKIMWI imeitaka Bohari Kuu ya Dawa (MSD) nchini kuongeza kasi ya usambazaji...

WATUMISHI MADINI WATEMBELEA MGODI WA BULYANHULU

0
Katibu Mkuu Madini aanza Utekelezaji Maazimio Kahama Timu ya Watumishi wapatao 13 kutoka kada mbalimbali za Wizara ya Madini ikihusisha Makatibu Mahususi, Watunza Kumbukumbu na Wahudumu...

RITHA PAULSEN NA MRISHO MPOTO WALAMBA SHAVU LA KUWA MABALOZI BASATA

0
Na Magrethy Katengu Baraza la Sanaa la Taifa katikakuhakikisha kazi zinazofanywa zinajulikana limewachagua Mabalozi watakaofanya kazi ya kulitangaza ndani na nje ya nchi shughuli wanazozifanya...

TAASISI YA KIFEDHA YA FROZA MICROFINACE YAJIKITA KUTOA ELIMU YA FEDHA KWA WAJASILIAMALI

0
Na Shomari Binda-Musoma MENEJA wa kampuni ya Froza Microfinance Company Limited,Mbio Mushi ,amesema suala la elimu kwa wajasiliamali ni muhimu ili kuwezesha biashara kukua. Kauli hiyo...

MRADI WA FEEL FREE WATAMBULISHA KAZI ZA WANUFAIKA WANNE

0
BAADA ya Kupikwa kwa miezi nane Vijana wanne wenye vipaji vya Sanaa ya ufundi ngoma,Sanaa za uoni kwa ufadhili wa balozi mbili ikiwemo ubalozi...

CCM MKOA WA MARA YAMKABIDHI MBUNGE PROF. MUHONGO TUZO YA UCHAPAKAZI

0
Na Shomari Binda-Musoma CHAMA cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mara kimemkabidhi mbunge wa jimbo la Musoma vijijini, Prof.Sospeter Muhongo tuzo ya uchapakazi. Tuzo hiyo imetolewa na...