Wednesday, May 6, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

SHEIKH ATOA YA MOYONI KUPONGEZA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA KUDHIBITI MAANDAMANO

0
Na Magrethy Katengu Vyombo vya Ulinzi na Usalama vimepongezwa kwa kuwakamata watu watatu akiwemo Balozi Mstaafu Willibroad Silaa,Bonfase Mwakumbusi na Mdude Nyangali kwa kosa la...

CHAMA CHA ACT WAZALENDO CHATOA MAONI KWA SERIKALI NAMNA YA KUKABILIANA NA UPATIKANAJI MAFUTA...

0
Na Magrethy Katengu CHAMA cha ACT Wazalendo Chafafanua mambo matano ambayo Serikali inapaswa kuyachukulia hatua ili kukabiliana na changamoto za upatikanaji wa mafuta ya Petroli...

Said Selemani asomewa shtaka akiwa Hospital ya Bugando Mwanza

0
Said Selemani (32), mkazi wa Arusha akiwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza ya Sekou Toure, amesomewa shtaka la kumjeruhi mpenzi...

Hati miliki zapunguzwa Kwa Nusu ya gharama za awali

0
Na Neema Kandoro, Mwanza SERIKALI imepunguza gharama zilizokuwa zikitumika kutoa hati miliki ya ardhi kwa mwaka 2023/24 ili kuwezesha watanzania wengi kumudu hivyo kupunguza migogoro...

ASHIKILIWA KWA KUMUUA MKE, SHEMEJI KISA WIVU WA MAPENZI

0
Na Boniface Gideon, TANGA JESHİ la Polisi mkoa wa Tanga limefanikiwa kumkamata Swalehe Miraji Ally mwenye umri wa miaka 38 kwa kosa la kuwaua mke...

MANISPAA YA MUSOMA YAWATAKA WAJASIRIAMALI KUJIANDAA NA MIKOPO YA ASILIMIA 10

0
Na Shomari Binda-Musoma WANAWAKE, vijana na wenye ulemavu wajasiriamali wametakiwa kujiandaa na mikopo ya asilimia 10 itakayoanza kutolewa kwa utaratibu mpya. Kauli hiyo imetolewa na Naibu...

WAKUMBUSHIA AHADI YAO KWA RAIS SAMIA

0
Na Theophilida Felician Kagera. Albert Christan Kahabuka ambaye ni mlevu wa viongo vya mwili ambayo ni miguu na Novati Joseph Mwijage mlevu wa kutokuona wakazi...

NHIF ITOE ELIMU ZAIDI KWA WANANCHI ILI KUONDOA MALALAMIKO

0
Na WAF, Dodoma Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI Mhe. Stanslaus Nyongo ameutaka Mfuko wa Taifa wa Bima...

JESHI LA POLISI NCHINI LARIDHISHWA NA HALI YA USALAMA NA UTULIVU MKOA WA MARA

0
Na Shomari Binda- Musoma JESHI la Polisi Nchini limeiridhishwa na hali ya ulinzi na usalama uliopo kwa sasa mkoani Mara huku wananchi wakiendelea kufanya shughuli...

DKT. BITEKO AWATAKA WAFANYABIASHARA WA MADINI KUREJESHA FEDHA ZA KIGENI BAADA YA MAUZO

0
Wauza Nje Madini ya Thamani ya Shilingi Trilioni 2.24 Katibu Mkuu Mahimbali Aunda Timu ya Wataalam 9 Kutathmini Biashara ya Madini Nje Dodoma Wafanyabiashara wa Madini wametakiwa...