Home 2023
Yearly Archives: 2023
MBUNGE MATHAYO AKUTANA NA VIJANA 300 ALIOWAWEZESHA MIRADI YA UFUGAJI KUKU
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini, Vedastus Mathayo amekutana na VIJANA 300 wa jimbo la Musoma mjini aliowawezesha miradi ya ufugaji kuku.
Vijana...
Masomo ya Sayansi toka Shule za awali ni Muhimu
Na Neema Kandoro, Mwanza
MASOMO ya sayansi yanapaswa kuanza kufundishwa tangu shule za awali ili kujenga misingi mizuri ya wanafunzi kukua wakipenda kujifunza mtaala huo...
SHIVYAWATA WAIPONGEZA SERIKALI KWA JINSI INAVYOENDELEA KUWATAMBUA WATU WENYE ULEMAVU
Na Theophilida Felician, Kagera
Shirikisho la vyama vya watu wenye ulemavu SHIVYAWATA Halmashauri ya Bukoba Mkoani Kagera kupitia Mwenyekiti wake Jackline Phabiani ametoa pongezi na...
MAMA NA BABA LISHE WA MACHINGWA COMPLEX WAPEWA MITUNGI YA GESI NA NAIBU SPIKA...
Magrethy Katengu
Serikali imekuwa ikifanya jitihada za dhati kuhakikisha udhibiti wa uharibifu wa mazingira kwa kuwapa elimu wananchi wake kutumia nishati mbadala ya kupiki ikiwemo...
TIGO CHA WOTE YATIMIZA NDOTO YA BINTI HUYU, KUMILIKI BIASHARA YA NDOTO ZAKE
Na Mwandishi Wetu.
Joyce Nestor Masaba , Mhitimu wa Chuo Mkazi wa Mbezi Beach Jijini Dar Es Salaam ni miongoni mwa washindi wa Milioni Moja...
MAELFU WAJITOKEZA MAZISHI YA KADA WA CCM MAGORI ZEMBWELA MJINI MUSOMA
Na Shomari Binda-Musoma
MAELFU ya wakazi wa mji wa Musoma mkoani Mara, miji jirani na nje ya nchi wamehudhuria mazishi ya kada wa CCM na...
TUME YA MADINI YAAINISHA MAFANIKIO MAKUBWA, MAKUSANYO YA MADUHULI YAFIKIA SHILINGI BILION 678 DODOMA
Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Ramadhani Lwamo amesema kuwa kutokana na usimamizi mzuri wa Sekta ya Madini katika kipindi cha mwaka...
SERIKALI YAOMBWA KUWASAIDIA WAKULIMA KUPATA MIKOPO
Bw. Kawawa Luduko ni Mkulima Maharufu Wa kilimo Cha Pamba Mkoani Geita Kijiji Cha Bukwimba Wilaya ya Nyang'nwale Mkoani ameeleze jinsi kilimo Cha Pamba ...
WANANCHI WAISHUKURU SERIKALI PROF.MUHONGO UJENZI SHULE SHIKIZI KITONGOJI CHA NYASAENGE
Na Shomari Binda-Musoma
WANANCHI wa Kitongoji cha Nyasaenge Kijiji cha Kataryo Kata ya Tegeruka,wameishukuru serikali kwa kuendelea kutoa fedha kwaajili ya ujenzi wa shule.
Licha ya...



