Wednesday, May 6, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

WAZIRI UMMY; WANANCHI JENGENI UTAMADUNI WA KUPIMA AFYA

0
Na Paskal Mbunga, Tanga. WATANZANIA wametakiwa kujijengea tabia ya kupima afya mara kwa mara badala ya kungoja mpaka waugue kwani, itawasababishia gharama kubwa za kujitibia. Akizungumza...

MIGODI MIKUBWA YENYE UBIA NA SERIKALI YACHANGIA SHILINGI TRILIONI 1.53 KUFIKIA JUNI, 2023

0
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Nishati, Madini ataka STAMICO iongezwe nguvu Katibu Mkuu Mahimbali aeleza Mipango Kabambe kuendeleza Sekta ya Madini, aeleza Miradi Mingine Mbioni...

SILAHA AINA YA RIFFLE NA RISASI 39 ZAKAMATWA NA JESHI LA POLISI MKOANI MARA

0
Na Shomari Binda-Musoma JESHI la polisi mkoani Mara limefanikiwa kukamata silaha aina ya Riffle na risasi 39 ziluzokuwa zikimilikiwa kinyume cha sheria. Akizungumza na Waandishi wa...

RAIS WA INDONESIA JOKO WIDODO KUFANYA ZIARA YA SIKU MBILI NCHINI

0
Magrethy Katengu RAIS wa Jamhuri ya Indonesia Joko widodo anatarajiwa kufanya ziara ya siku mbili na anatarajiwa juwasili leo Agosti 21, 2023, na atapokelewa...

BAWACHA YAWANOA WANAWAKE WAJASIRIAMALI KUTAMBUA FURSA ZA KIUCHUMI

0
Na Boniface Gideon, MUHEZA Baraza la Wanawake wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema ( BAWACHA) Wilaya ya Muheza leo limefanya mafunzo maalumu ya kuwajengea...

MATHAYO CUP 2023 JIMBO LA MUSOMA MJINI KUANZA KUTIMUA VUMBI AGOSTI 28

0
Na Shomari Binda-Musoma MASHINDANO ya "Mathayo Cup" yanayoandaliwa na mbunge wa jimbo la Musoma mjini,Vedastus Mathayo,yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi agosti 28. Mwenyekiti wa kamati ya mashindano...

TANZANIA, INDIA ZAIMARISHA USHIRIKIANO KIUCHUMI

0
Dkt. Biteko asema biashara nyingi Sekta ya Madini inafanywa na India Arusha Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amesema ushirikiano wa kidiplomasia baina ya Serikali ya...

WALEZI TIMIZENI JUKUMU LA ULEZI, MMOMONYOKO WA MAADILI UMESHIKA KASI

0
Na Magrethy Katengu Walezi wameshauriwa kuangalia watoto kwa ukaribu kwani kuna Mmomonyoko wa maadili na Vijana wameharibika wengine wakiwa wamejiunga na utumiaji dawa za kulevya,...

TWIGA MINERALS YASHINDA KIPENGELE CHA KAMPUNI ZA UBIA NA SERIKALI

0
Yatoa Gawio la Shilingi Bilioni 84 Serikalini Arusha Kampuni ya Twiga Minerals Cooperation Limited inayomilikiwa kwa ubia kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Uchimbaji...

TWIGA MINERALS YASHINDA KIPENGELE CHA KAMPUNI ZA UBIA NA SERIKALI

0
Yatoa Gawio la Shilingi Bilioni 84 Serikalini Arusha Kampuni ya Twiga Minerals Cooperation Limited inayomilikiwa kwa ubia kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Uchimbaji...