Wednesday, May 6, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

DOKTA NCHEMBA ATETA NA MAKAMU WA RAIS WA HUAWEI BEIJING

0
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwiguu Lameck Nchemba, ametoa wito kwa Kampuni ya Mawasiliano ya Huawei ya China, kuisaidia Tanzania kuweka mifumo ya kisasa...

TUUZE KOROSHO ZILIZOBANGULIWA – MAJALIWA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakulima zao la korosho wafanye kilimo cha kibiashara kwa kuacha kuuza korosho ghafi na badala yake wauze zilizobanguliwa ili...

WAZIRI UMMY ATANGAZA NEEMA MATIBABU BURE KUPITIA KAMBI.

0
Na Boniface Gideon, TANGA Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Tanga, leo Agosti 14 ametangaza neema ya matibabu kwa...

SHIRIKA LA POSTA LAZIDI KUIMARIKA, MAPATO YAFIKIA BILIONI 33.7 MWAKA 2022/2023

0
Na. Beatrice Sanga-MAELEZO Shirika la Posta limeendelea kutengeneza faida kutokana na shughuli mbalimbalui ambazo linazifanya pamoja na uwekezaji mzuri unaoendelea kufanywa na serikali ikiwemo kusafirsha...

UVCCM NDIO JUMUIYA PEKEE YENYE UWEZO WA KUWASEMEA VIJANA WA KITANZANIA.

0
Na Mwandishi wetu Mkoa wa Magharibi Zanzibar. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) akiwa...

WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZA UMMA, WAKUU WA BODI KUKUTANA ARUSHA

0
*Taasisi ziko tayari kushiriki, Rais Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi Na Beatrice Sanga MAELEZO Ofisi ya Msajili wa Hazina imesema itahakikisha inasimamia mabadiliko na mageuzi mbalimbali...

Serikali imewahakikishia wawekezaji wote nchini kutumia fursa ya mazingira bora ya ufanyaji biashara

0
Waziri wa Viwanda ana Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewakikishia wawekezaji wote nchini kutumia fursa ya mazingira mazuri ya ufanyaji biashara yaliyowekwa na...

Kigahe Aziagiza Taasisi kuwafuata wafanyabiashara na kutoa elimu kuhusu tozo

0
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb.) amezishauri Taasisi za Umma ziwafuate, zijifunze mazingira na changamoto za wafanyabiashara na kuwapa elimu...

Kigahe Aziagiza Taasisi kuwafuata wafanyabiashara na kutoa elimu kuhusu tozo

0
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb.) amezishauri Taasisi za Umma ziwafuate, zijifunze mazingira na changamoto za wafanyabiashara na kuwapa elimu...

MUHONGO ACHANGIA MIFUKO 200 YA SARUJI KUUNGA MKONO WANAKIJIJI UJENZI WA ZAHANATI

0
Na Shomari Binda-Musoma MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini Prof. Sospeter Muhongo amechangia mifuko 200 ya saruji kuunga mkono wananchi wa Kijiji cha Chimati walioamua...