Home 2023
Yearly Archives: 2023
THAMANI YA UWEKEZAJI MFUKO WA PSSSF KUFIKIA TRILIONI 7.98-MAJALIWA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kiwango cha thamani ya uwekezaji Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) imeongezeka hadi kufikia shilingi...
BODABODA HESHIMUNI SHERIA ZA BARABARANI KUEPUKANA NA AJALI
Na Magrethy Katengu
Mkuu wa Dawati la Elimu ya Usalama Tanzania TRAFIC ACP Michael Delali amewataka wanaosafirisha abiria kwa chombo cha pikipiki kutii sheria ya...
MADAKTARI BINGWA WA MACHO KUWEKA KAMBI HOSPITAL YA MWALIMU NYERERE MUSOMA
Na Shomari Binda-Musoma
TIMU ya madaktari bingwa kutoka hospital ya kanda Bugando wanatarajiwa kuweka kambi ya kutoa huduma za kibingwa za matibabu ya macho kwenye...
VIJANA WABUNIFU WAMEIOMBA SERIKALI KUWAWEZESHA MITAJI
Vijana wabunifu wameiomba serikali kuwawezesha mitaji itakayoweza kukuza mitaji yao
hayo yamesemwa na Bwana Ramadhani Mohamed Sengerema katika Maonesho ya Nanenane yanaendelea katika Viwanja...
MHE. DKT.KIJAJI AIAGIZA MENEJIMENTI YA KIWANDA CHA SUKARI CHA MKULAZI KUKAMILISHA UJENZI WA KIWANDA...
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ameiagiza menejimenti ya kiwanda cha sukari cha Mkulazi Holding Company Limited (MHCL) ambacho ni...
PROF. KITILA AWAFIDIA BODABODA WALIOUNGULIWA NA PIKIPIKI WAKATI WA AJALI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof. Kitila Mkumbo amekabidhi pikipiki mbili kwa...
WATOTO NJITI ZAIDI YA LAKI 2 NCHINI HUZALIWA KWA MWAKA
Na. WAF - Dar es SalaamWaziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amebainisha kuwa takriban watoto laki Mbili mpaka laki Tatu kwa Mwaka huzaliwa kabla...
MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YATAKIWA KUFANYA KAZI KWA KUZINGATIA MAADILI
Na Shomari Binda-Musoma
MASHIRIKA yasiyo ya kiserikali mkoani Mara yametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili na utu wa mtanzania.
Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa...
Kampuni ya Tigo yazindua Duka la Huduma kwa Wateja Kisesa Mkoani Mwanza
Diwani wa Kata ya Kisesa amezindua Tawi Tigo huduma Kwa wateja Kisesa Mkoani Mwanza Ili kusogeza huduma karibu na Wananchi Maiko Kabadi Ambae ni...
ACT-WAZALENDO TANGA WACHANGIA DAMU HOSPITALI YA BOMBO
Na Boniface Gideon-Tanga
Chama cha ACT-WAZALENDO jimbo la Tanga pamoja na wakazi wa jiji la Tanga , leo agosti 11 wamejitokeza kwa wingi kuchangia Damu...













