Friday, May 8, 2026
Home 2023

Yearly Archives: 2023

KADA CCM ATOA USHAURi KWA WENYEVITI WA MITAA NCHINI

0
Na Shomari Binda-Musoma WENYEVITI wa mitaa nchini wameshauriwa kutumia mikutano yao kutoa elimu ya ufahamu juu ya Katiba ya nchi. Ushauri huo umetolewa na kada wa...

CCM MWANZA yataka viongozi wasimamie Miradi kwa ukaribu

0
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Mwanza kimewataka viongozi wake kuweka juhudi katika kutatua matatizo ya wananchi katika maeneo yao kama inavyosisitizwa na Ilani yake...

WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA MJI WA SERIKALI

0
*Aagiza ifikapo Oktoba mwaka huu uwe umekamilika WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza kuwa ifikapo Oktoba mwaka huu, mradi wa majengo ya wizara mbalimbali unaoendelea katika...

KATIBU MKUU NISHATI ASISITIZA GST KUFANYA UTAFITI ZAIDI

0
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Mhandisi Felchesmi Mramba amesisitiza Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) kuendelea kufanya tafiti zaidi ikiwemo kuongeza...

MABASI YATOAYO HUDUMA YA USAFIRISHAJI ABIRIA MIKOANI YARUHUSIWA KUSAFIRI MASAA 24

0
Na Magrethy Katengu Mabasi yanayotoa huduma ya usafirishaji abiria kwenda Mikoani yameruhusiwa kusafiri masaa 24 kutokana na hali ya Ulinzi na usalama kuboreshwa barabarani kote...

LATRA YAFUNGIA RATIBA YA MABASI YA NEW FORCE KUSAFIRI USIKU

0
Na Magrethy Katengu Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imefuta ratiba ya awali ya alfajiri ya mabasi 38 ya kampuni ya New Force Enteprises ambapo...

WAZIRI MKUU: MAFUTA YA KANDA YA KASKAZINI, ZIWA YACHUKULIWE TANGA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Nishati iratibu ununuzi wa mafuta kutoka mikoa ya Kaskazini na Kanda ya Ziwa ili yachukuliwe kutokea Tanga...

SHULE ZA SEKONDARI 19 KUJENGA MAABARA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI

0
Na Shomari Binda-Musoma SHULE 19 za sekondari za Kata katika jimbo la Musoma vijijini zinaendelea na ujenzi wa maabara kwaajili ya ugundishaji wa masomo ya...

WANAFUNZI BARA, VISIWANI WASHIRIKI KONGAMANO LA SAYANSI TANGA STEM PARK

0
Na Boniface Gideon, TANGA ZAIDI ya wanafunzi 60 wa shule Sekondari kutoka katika Mikoa mbalimbali ya Tanzania wameshiriki kikamilifu Kongamano la saba la sayansi na...

ONE MAP AFRICA WAOMBA USHIRIKIANO KWA SERIKALI , KUWEZESHA FURSA ZA AJIRA NA UWEKEZAJI...

0
https://www.youtube.com/embed/MLBvjb9M17A Mwanzilishi wa Kampuni ya ONE MAP AFRICA Bwn. Joseph John Ng'wandu ( katikati ) katika picha ya pamoja na Mchekeshaji Maarufu Nchini JK COMEDIAN...