Tuesday, November 24, 2026
Tangazo-NHC
Home 2023

Yearly Archives: 2023

SANYA, AISHUKURU, JUMUIYA

SANYA AISHUKURU JUMUIYA YA WAZAZI MARA KUMKUMBUKA, ATOA USHAURI

0
Na Shomari Binda-Musoma MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mara Christopher Sanya ameishukuru jumuiya ya wazazi mkoa wa Mara kumualika kwenye...
ELIMU, UKATILI, KIJINSIA

ELIMU YA UKATILI WA KIJINSIA YAWAFIKIA VIONGOZI JUMUIYA YA WAZAZI MARA

0
Na Shomari Binda-Musoma SHIRIKA la Hope For Girls and Women lenye makao makuu yake mjini Mugumu wilayani Serengeti mkoani Mara limetoa elimu ya ukatili wa...
AFYA, UDONGO, VIJIJI

AFYA YA UDONGO KUPIMWA VIJIJI 100 MKOA WA MARA NA SERIKALI KUPITIA OCP AFRIKA

0
Na Shomari Binda-Musoma JUMLA ya vijiji 100 vilivyopo mkoani Mara,vinatarajiwa kufikiwa katika zoezi la upimaji wa afya ya udongo ili kupata mazao yenye tija. Zoezi hilo...
DKT, BITEKO, KUANZA

DKT. BITEKO ATOA SIKU 14 KUANZA UZALISHAJI WA ALMASI MWADUI

0
Ujenzi wa Bwawa la Tope Laini wafikia asilimia 97 Mgodi wa Uchimbaji Mkubwa wa Madini ya Almasi wa Mwadui kuanza uzalishaji baada ya kusitisha uzalishaji...
KUIBUKA MSHINDI, TIGO, WOTE

JINSI YA KUIBUKA MSHINDI WA TIGO CHA WOTE , TAZAMA HAPA WAKIKABIDHIWA MAMILIONI YA...

0
 Na Mwandishi Wetu. https://www.youtube.com/embed/wjMkmizbevE  Ikiwa ni Takribani wiki sasa tangu kampuni ya Mawasiliano ya Tigo izindue Kampeni yake ya CHA WOTE yenye lengo la kuwasaidia wateja...

WAZIRI MKUU: MJADALA WA BANDARI USILIGAWE TAIFA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mjadala unaoendelea kuhusu uwekezaji kwenye bandari ya Dar es Salaam usiligawe Taifa kwa sababu Serikali ya awamu ya sita...

MIKATABA YA UENDELEZAJI BANDARI ITAZINGATIA MASLAHI YA NCHI-MAJALIWA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha kuwa mikataba ya utekelezaji wa makubaliano ya uendeshaji wa maeneo ya bandari nchini kati ya Serikali ya...
WATUHUMIWA, MATUKIO

WATUHUMIWA 59 MBARONI MATUKIO YA KIHALIFU

0
Na Magrethy Katengu Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Mkoa wa Dar es salaam linawashikilia Watuhumiwa 59 kwa makosa mbalimbali ikiwemo Unyang'anyi, kuvunja nyumba usiku...
BRELA, MAAFISA, BIASHARA

BRELA YAWAJENGEA UWEZO MAAFISA BIASHARA KULEA WAFANYABIASHARA

0
Na Shomari Binda-Musoma MAAFISA biashara 138 kutoka mikoa 10 hapa nchini wametakiwa kuwa marafiki wa wafanyabiashara na sio maadui katika kuinua uchumi wa taifa. Licha ya...
TAASISI, FEDHA, KUISAIDIA

TAASISI ZA FEDHA ZAHIMIZWA KUISAIDIA SERIKALI KUKUSANYA NA KUTUNZA TAARIFA ZA WAMILIKI MANUFAA WA...

0
Taasisi za kifedha nchini zimehimizwa kuisaidia Serikali kukusanya na kutunza taarifa za Wamiliki Manufaa wa Kampuni kwa kuwa wanazitambua kampuni hizo kupitia huduma mbalimbali...
Celebrating 25 Years of NHIF
FAHARI AFYA