Home Kitaifa MAADHIMISHO YA SIKU YA JINSIA CBE, YAPAMBWA KWA MADA MBALIMBALI

MAADHIMISHO YA SIKU YA JINSIA CBE, YAPAMBWA KWA MADA MBALIMBALI

Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kimeadhimisha siku ya jinsia leo April,10,2025 huku ikiambatana na kumbukizi ya miaka 60 toka kuanzishwa kwa chuo hiki mwaka 1965 kauli mbiu maadhimisho hayo kwa mwaka huu ni ”KWA PAMOJA TUKAFANIKISHE USAWA WA KIJINSIA”.

Hafra hii imeudhuriwa na watu mbalimbali ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Dkt. Anna Peter Makakala Kamishina Jenerali wa Uhamiaji ambaye ametoapongezi kwa Mhe. Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluh Hassan na kwa Uongozi wa Chuo kwa kuhakikisha usawa wa kijinsia unakuwepo.

Mhe. Rais ameakikisha watoto wa jinsia zote wanapata elimu sawa na hizi ni juhudi za Serikali na pia katika Azimio la 5 katika Malengo ya Maendeleo Endelevu 2025 pamoja na kuwezesha wanawake kiuchumi

Pongezi kwa Chuo tangu sheria ya usawa wa kijinsia kuanzishwa mwaka 2021 nimejionea baraza la wanafunzi na uongozi wa Chuo kwa usawa uliofanyika kwa jinsia zote”, alisema Dkt. Anna

Kwa upande wake Mkuu wa Chuo, Prof. Edda Tandi Lwogaalimshukuru Mgeni Rasmi kwa kuitikia wito; “Siku ya usawa wa kijinsia dunian ulifanyika Machi,8 mwaka huu wakati ambao wanafunzi wengi walikuwa likizo hivyo tumeweka leo ili kuwashirikisha wanafunzi wetu. Katika mazingira yetu hapa tunajitaidi sana kuwa na usawa kwa wanafunzi pamoja na watumishi

Aidha watoa maada wameongea mambo mbalimbali yanayohusu suala la jinsia ikiwemo mada ya afya ya akili pamoja na jinsi kujiwekeza kifedha . Mtoa mada wa masiala ya afya ya akili alisema kwamba jamii inakabiliana na changamoto ya afya ya akili huku akibainisha matumizi mabaya ya teknolojia yanachangia katika kukuwa kwa“ Dkt Kweka mtaalamu wa afya ya akili kutoka hospitali ya taifa muhimbili

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!