Tuesday, February 24, 2026
Home 2026

Yearly Archives: 2026

BILIONI 45.8 KUTUMIKA KUFIKISHA UMEME KATIKA VITONGOJI MKOANI SIMIYU

0
Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu Bi. Prisca Kayombo,akizungumza wakati wa kikao cha kumtambulisha rasmi Mkandarasi wa Mradi huo Burhani Engineers limited atakaye hudumia Vitongoji...

MFUMO WA IDRAS KUBORESHA UTOAJI HUDUMA KWA WALIPAKODI

0
Kaimu Naibu Kamishna wa Huduma kutoka Idara ya Walipakodi wakubwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bi. Rosemary Ruganuza leo 04.02.2026 Jijini Dar es Salaam...

EWURA  YATANGAZA BEI ZA MAFUTA FEBRUARI  2026,DIZELI YASHUKA MARADUFU

0
Na Mwandishi Wetu - DODOMA Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji ( EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta aina ya...

SERIKALI YATENGA BILIONI 45.6 KWA AJILI YA KUSAMBAZA UMEME KATIKA VITONGOJI 376 MKOA WA...

0
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe. Halima Dendego, amesema kuwa utekelezaji wa mradi wa kusambaza umeme katika vitongoji 376 vya mkoa huo utawezesha uongezaji...

SERIKALI YAFAFANUA HATUA ZA KUDHIBITI MIKOPO YENYE RIBA KUBWA

0
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali kudhibiti mikopo yenye riba kubwa ili kulinda wananchi...

TAMWA YAWEKA MIKAKATI KUTOKOMEZA UKATILI NCHINI.

0
Na Boniface Gideon,Tanga Mikakati thabiti ya kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia katika jamii inahitaji ushirikiano wa makundi mbalimbali ya jamii nzima kwa ujumla ambapo...

HANDENI MJI YAENDELEA KUTEKELEZA KWA UFANISI MPANGO WA LISHE SHULENI

0
Na Job Karongo HALMASHAURI ya Mji Handeni imeendelea kuonyesha mafanikio katika utekelezaji wa mpango wa lishe shuleni baada ya jumla ya wanafunzi 28,047 kati ya...

MAJIKO BANIFU YA RUZUKU YAPIGA HODI SHINYANGA .

0
Serikali ya Mkoa wa Shinyanga kupitia Kaimu katibu tawala wa mkoa wa Shinyanga ambaye pia ni Katibu tawala msaidizi rasilimali watu, Ndugu David Lyamongi...

RC MAKONGORO AIPA KIPAUMBELE AJENDA YA KUPELEKA UMEME KWENYE VITONGOJI

0
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mhe. Makongoro Nyerere ameahidi kuipa kipaumbele miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) ya kupeleka umeme kwenye vitongoji 156...

WMA YAFUNGA MTAMBO WA KISASA UNAOHAKIKI DIRA ZA MAJI DODOMA

0
Afisa Vipimo kutoka Wakala wa Vipimo (WMA), akihakiki dira za maji. Veronica Simba - WMA Wakala wa Vipimo (WMA) umesimika mtambo wa kisasa wa kidijitali wa...
💬
Support