Home 2026
Yearly Archives: 2026
SERIKALI KUIMARISHA SEKTA YA KINGA YA JAMII, KULETA MANUFAA KWA UMMA
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (aliyekaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na...
EWURA YATOA MSAADA WA MASHUKA 455 HOSPITALI YA MKOA WA IRINGA
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) leo, 10 Februari 2026, imetoa msaada wa mashuka 455 katika hospitali ya rufaa ya...
KWAGILWA AKAGUA ICU YA KISASA HANDENI MJI, KUIMARISHA HUDUMA ZA AFYA
Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Reuben Kwagilwa, amekagua maendeleo ya ujenzi wa jengo...
KATIBU MKUU DKT. MUYUNGI AWAKARIBISHA WADAU USAFIRI WA KUTUMIA UMEME
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akizungumza katika Mkutano na wadau kutoka Jumuiya ya Vyombo vya Moto vitumiavyo Umeme Tanzania (TAEMA)...
SERIKALI KUCHUKUA HATUA ZA KINIDHAMU KWA WAAJIRI WOTE WASIOZINGATIA SHERIA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete, akizungumza na watumishi wa Tume ya Utumishi...
WADAU WA BIASHARA SHINYANGA WAPONGEZA JITIHADA ZA BARAZA LA USHINDANI
Mwakilishi wa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Bw. David Lyamongi,akizungumza wakati wa semina ya kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya ushindani wa kibiashara wadau...
USHINDANI WA HAKI WACHOCHEA UBUNIFU SOKONI
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dennis Londo, amesema Tume ya Ushindani (FCC) iendelee na majukumu ya kusimamia ushindani katika kujenga imani ya walaji, kwani...
WADAU WA BIASHARA WAELIMISHWA NAMNA YA KUPATA HAKI KUPITIA BARAZA LA USHINDANI
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Bw. Balandya Elikana,akizungumza wakati akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo wafanyabiashara jijini Mwanza,ili kuwaongezea uelewa kuhusu masuala ya ushindani...
RAIS SAMIA APONGEZWA KWA KUPUNGUZA UHABA WA WATUMISHI HANDENI MJI
Mwenyekiti wa halmashauri ya Mji Handeni, Amiri Mwaliko,akizungumza katika mkutano wa kupokea na kujadili taarifa za kata za Halmashauri ya Mji Handeni uliofanyika leo...
NAIBU WAZIRI KWAGILWA: TAASISI ZINAZOHUDUMIA WANANCHI ZIWASILISHE TAARIFA ZAKE BARAZA LA MADIWANI
Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Reuben Kwagilwa,akizungumza katika mkutano wa kupokea na kujadili...













