Home 2026
Yearly Archives: 2026
TFS YAPOKEA TUZO YA SHUKRANI HAFLA YA THE CITIZEN RISING WOMAN GALA
Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika tarehe 08 Machi kila mwaka,Wakala wa huduma za Misitu (TFS) imepokea tuzo ya Shukrani kufuatia udhamini...
WANANCHI WAHIMIZWA KUJIUNGA NA HIFADHI SKIMU
Na: OWM (KAM) - Mwanza
Serikali imehimiza wananchi kujiunga katika na Hifadhi Skimu ili kujihakikishia usalama wa maisha yao ya sasa na baadaye ikiwemo kunufaika...
MASAUNI AITAKA BODI NCMC KUIMARISHA MIFUMO YA UPIMAJI, UTOAJI TAARIFA NA UHAKIKI WA GESIJOTO
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akizungumza wakati akizindua Bodi ya Kituo Taifa cha Kuratibu Kaboni (NCMC),...
UMEME WA GRIDI KIGOMA WAOKOA BILIONI 58 ZA MAFUTA NA MATENGENEZO
Mradi wa kupeleka umeme wa gridi mkoani Kigoma umeokoa takribani shilingi bilioni 58 zilizokuwa zikitumika kila mwaka kwa ununuzi wa mafuta na matengenezo ya...
EWURA YAFUTA LESENI YA IYAN ENERGY,YASITISHA YA CRESCENT ENERGY KWA MIEZI SITA
Na Mwandishi Wetu
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kufuta leseni ya rejareja ya bidhaa za mafuta ya petroli ya...
KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WAWAKILISHI NA UBALOZI WA UINGEREZA
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi akizungumza wakati wa kikao baina yake na wawakilishi wa Ubalozi wa Uingereza nchini Tanzania...
DC NYAMWESE AWAPA SOMO WANAWAKE HANDENI MJI MATUMIZI YA SIMU JANJA KIBIASHARA
Na Mwandishi Wetu, Handeni
Wanawake katika Halmashauri ya Mji Handeni wametakiwa kutumia simu janja na teknolojia ya kidijitali kwa kuwa ni nyenzo muhimu ya kukuza...
TBA YASHIRIKI KLINIKI YA KUTATUA KERO ZA WANANCHI DODOMA
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Mkoa wa Dodoma unashiriki katika Kliniki maalum ya kutatua kero na changamoto mbalimbali za wananchi iliyoandaliwa na Ofisi ya...
KIGOMA YAPATA MSHINDI WA PIKIPIKI
Mjasiriamali Daniel Deogratus Sambo, mkazi wa Kigoma Mjini, ameibuka mshindi wa pikipiki aina ya TVS kupitia promosheni ya “Shinda Boda”.
Akizungumza baada ya kupokea zawadi...
EWURA KANDA YA KASKAZINI YAWANOA VIONGOZI WA WILAYA YA KOROGWE
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kupitia Kanda ya Kaskazini, leo tarehe 5 Machi 2026 imetoa elimu kwa viongozi wa...













