Home 2026
Yearly Archives: 2026
WAZIRI ULEGA AWATAKA WANANCHI KUILINDA NCHI YAO
Na Mwandishi Wetu
Mbunge wa Jimbo la Mkuranga na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewataka wananchi wa Wilaya ya Mkuranga kuendelea kuilinda na kuitunza amani...
TPSC TANGA WATOA MISAADA NA KUFANYA USAFI KATIKA KITUO CHA AFYA NGAMIANI JIJINI TANGA
Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Kampasi ya Tanga leo tarehe 7 Machi 2026 kimetekeleza shughuli ya kutoa huduma kwa jamii kwa kutembelea...
WANAWAKE TBA DODOMA WASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Wanawake wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) mkoa wa Dodoma leo Machi 8, 2026 wameungana na wanawake wenzao wa mkoa wa Dodoma, Tanzania na...
EWURA YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Wafanyakazi wanawake wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) wakiwa katika maandamano walipoungana na wanawake duniani kuadhimisha Siku ya Wanawake...
WMA WATOA ELIMU YA VIPIMO MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Wakala wa Vipimo (WMA) wameshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Kimataifa, kwa kutoa elimu ya vipimo kwa wadau mbalimbali waliofika Kongwa, Dodoma mahali...
MCHANGO WA WMA KUWEZESHA MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE WATAMBULIWA
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma imetoa cheti cha shukrani kwa Wakala wa Vipimo (WMA) ikitambua mchango wake katika kuwezesha maadhimisho ya Siku...
DC NYAMWESE: RAIS SAMIA ANAWATUA NDOO KICHWANI WANAWAKE WA HANDENI
Na Mwandishi Wetu
MKUU wa Wilaya ya Handeni, Salum Nyamwese, amesema Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuwatua ndoo kichwani wanawake wa Handeni kupitia utekelezaji wa...
WANAWAKE 1916 WAHUDHURIA SAMIA ARDHI KLINIKI DODOMA KUFUATILIA HATI ZA ARDHI
Na.Alex Sonna-DODOMA
JUMLA ya wanawake 1916 wamefika katika viwanja vya Ofisi za Ardhi kufuatilia hati zao za ardhi na kupata huduma mbalimbali za masuala ya...
DK. KIMARO: MIRADI YA FAMILIA NI SULUHISHO LA AJIRA KWA VIJANA
Mchungaji wa Usharika wa Kijitonyama, Dk. Eliano Kimaro, amesema serikali yoyote duniani haiwezi kuajiri wahitimu wote, hivyo ni muhimu kuwepo kwa miradi ya familia...
WANANCHI DODOMA WASHAURI TBA KUJENGA NYUMBA ZA KUPANGISHA KWA WATU BINAFSI
Baadhi ya wananchi waliotembelea banda la Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) katika Kliniki maalum ya kutatua kero za wananchi iliyofanyika katika viwanja vya Nyerere...













