Home 2026
Yearly Archives: 2026
STAMICO YAIBUKA MSHINDI WA JUMLA TUZO ZA ACOYA 2026
DAR ES SALAAM
Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeendelea kuthibitisha ubora wake barani Afrika baada ya kutwaa tuzo mbili muhimu katika Tuzo za Kampuni...
WAZIRI SANGU: MSHIKAMANO NA AMANI NDIO NGUZO YA MAENDELEO YA TAIFA
Na: OWM-KAM, Mwanza
Serikali imeendelea kusisitiza umuhimu wa kuendeleza mshikamano, umoja na amani kwa kuwa ni nguzo muhimu zinazowezesha taifa kufikia maendeleo endelevu ya kiuchumi...
SERIKALI YASISITIZA USIMAMIZI BORA WA MALI ZA UMMA KUPITIA GAMIS
Na. Josephine Majura, WF, PWANI
Serikali imezitaka taasisi zote za umma nchini kuimarisha usimamizi wa mali za Serikali kwa kuhakikisha taarifa zote za mali zinaingizwa...
TANZANIA YAUNGA MKONO MKATABA MPYA WA KIMATAIFA WA KULINDA WAFANYAKAZI WA MTANDAONI
Na: OWM (KAM) – Geneva, Uswisi
Ujumbe wa Tanzania umeunga mkono Mkataba mpya wa Kimataifa unaolenga kulinda haki, usalama na ustawi wa Wafanyakazi wa Mtandaoni...
NACONGO KUANDAA JUKWAA LA MWAKA LA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI DODOMA
Na Magrethy Katengu--Mzawa MediaDar es salaam
Baraza la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NaCoNGO) linatarajia kufanya Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali...
DCEA YAZINDUA FILAMU YA ‘KIFURUSHI’ KUPAMBANA NA USAFIRISHAJI WA DAWA ZA KULEVYA
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
Tume ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imezindua filamu ya “Kifurushi” itakayooneshwa katika mabasi yanayosafiri mikoa...
DKT MKILIA : ” USAJILI WA LAZIMA WAANZA , TUME YA ULINZI WA TAARIFA...
Na Mwandishi Wetu.
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), Dkt. Emmanuel Mkilia, ametoa wito kwa taasisi zote zinazokusanya au kuchakata taarifa...
WATAALAMU WAAGIZWA KUONGEZA KASI YA UTEKELEZAJI WA PROGRAMU YA AFDP
Na; Mwandishi Wetu - Chato
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Profesa Mohammed Ali Sheikh, Ametoa wito kwa wataalam kutoka katika Sekta zinazotekeleza...
WATAALAMU FCC NA ZFCT WAJADILI CHANGAMOTO NA FURSA ZA USHINDANI WA BIASHARA
Na Mwandishi Wetu
Baraza la Ushindani Halali Zanzibar (ZFCT) limefanya ziara ya mafunzo katika Tume ya Ushindani ya Haki (FCC) kwa lengo la kujifunza na...
TANZANIA YAELEZA MAFANIKIO YA UJUMUISHWAJI WA WATU WENYE ULEMAVU COSP19, YAAHIDI KUIMARISHA UPATIKANAJI WA...
Na Mwandishi Wetu, New York, Marekani
Serikali ya Tanzania imeeleza mafanikio makubwa iliyoyapata katika kuimarisha ustawi na ujumuishwaji wa watu wenye ulemavu, huku ikisisitiza umuhimu...













