Friday, October 16, 2026
Home 2026

Yearly Archives: 2026

TBS KUSHEREKEA MIAKA 50 DODOMA NA KUZINDUA KITABU

0
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Dkt. Ashura Katunzi,akitoa taarifa kwa umma kuelekea kuhitimisha maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwake Juni...

TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI ZAHIMIZWA KUWAJIBIKA KWA JAMII

0
Mwenza wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Neema Mwigulu Nchemba, amehimiza Taasisi za umma na binafsi kuendelea kuunga mkono juhudi...

WAZIRI SANGU: SERIKALI YAENDELEA KUTEKELEZA MIKAKATI YA KUONGEZA FURSA ZA AJIRA NCHINI

0
Na: OWM (KAM) – Dar es Salaam Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kutoa fursa...

MKENDA: HAKUNA MTOTO ATAKAYEACHWA NYUMA KATIKA ELIMU

0
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesema kuwa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika ni kumbusho kwa jamii kuhusu wajibu...

MRADI MPYA WA TANESCO KUIMARISHA UMEME KONGWA, GAIRO NA CHAMWINO

0
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limekamilisha na kuzindua mradi wa kimkakati wa Kituo cha Kubadilishia Njia za Usambazaji Umeme (Switching Station) pamoja na Transforma...

EWURA YAFIKIA WANANCHI,MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2026

0
Na Mwandishi Wetu Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeanza kushiriki katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma mwaka 2026...

MIRADI 73 KUZINDULIWA NA MWENGE MKOANI TANGA

0
Na Zabela Mponji, TANGA Miradi 73 yenye thamani ya Bil. 27.3 katika Halmashauri zote 11 za Mkoa wa Tanga inatarajiwa kuzinduliwa na Mbio za Mwenge,...

ORYX YAPONGEZA MAZINGIRA BORA YA UWEKEZAJI, YAZINDUA KITUO CHA MAFUTA DAR

0
MAZINGIRA bora ya uwekezaji yanayofanywa na Serikali katika sekta ya nishati ya mafuta na gesi imeendelea kuwa kichocheo cha kuvutia wawekezaji na hivyo kusogeza...

SERIKALI YAZITAKA SHULE BINAFSI KUUNGA MKONO MAGEUZI YA ELIMU

0
SERIKALI imezitaka taasisi binafsi za elimu kuendelea kushirikiana na Serikali katika utekelezaji wa mageuzi ya elimu yanayolenga kuimarisha ujuzi, sayansi na teknolojia, huku ikiipongeza...

DKT. SHEKALAGHE AWATAKA WADAU KUENDELEA KUUNGA MKONO MAPAMBANO DHIDI YA VIFO VYA MAMA NA...

0
Na Abdu Madenge, WAF – Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe, ametoa wito kwa wadau wa maendeleo kuendelea kuunga...