Friday, October 16, 2026
Home 2026

Yearly Archives: 2026

MKURUGENZI WA UCHAGUZI APONGEZA UFANISI NA UWAZI WA MFUMO WA UAGIZAJI MAFUTA KWA PAMOJA

0
Na Mwandishi Wetu Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Ramadhan Kailima, amepongeza ufanisi na uwazi wa Mfumo wa Uagizaji Mafuta...

TANZANIA HAINA MGONJWA WA EBOLA, ULINZI WA AFYA WAIMARISHWA

0
Tanzania inaendelea kuwa salama dhidi ya ugonjwa wa Ebola, huku Serikali ikisisitiza kuwa hakuna mgonjwa aliyethibitishwa kuwa na maambukizi hayo nchini. Mamlaka za afya...

TAFITI ZENYE MCHANGO KWA TAIFA KUPATA TUZO KUBWA ZA SERIKALI

0
Na.Alex Sonna-DODOMA Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda amezindua dirisha la maombi ya Tuzo za nne za Utafiti kwa Watafiti Waliochapisha Matokeo ya...

ELIMU YA VIPIMO YAWAVUTIA WANANCHI, WAAHIDI KUWA MABALOZI WA KUJITOLEA

0
*Dodoma* – “Sasa najua ni nini ninapaswa kuangalia ninapojaza mafuta, kununua sukari au hata ninaponunua gesi ya kupikia.” Ni kauli ya Bw. Bilson Vedastus,...

RIDHIWANI: TEA INA MCHANGO MKUBWA KATIKA KUIMARISHA SEKTA YA ELIMU

0
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, ameipongeza Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kwa...

SANGU :MAHUSIANO MEMA NI MSINGI WA KUIMARISHA UMOJA NA DEMOKRASIA NCHINI

0
Na. OWM (KAM), Morogoro Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Deus Sangu amesema mahusiano mema, mazungumzo ya kujenga na...

WADAU WA MADINI WAKUMBUSHWA KUZINGATIA SHERIA KUONGEZA MANUFAA KWA TAIFA

0
-DODOMA Wadau wa Sekta ya Madini wamehimizwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu zinazosimamia shughuli za madini ili kuhakikisha rasilimali hizo zinaendelea kuchangia maendeleo ya taifa...

TANZANIA KUTUMIA TAKWIMU KUHARAKISHA USTAWI WA WANANCHI

0
Na.Alex Sonna-DODOMA OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema takwimu rasmi zitaendelea kuwa nguzo muhimu katika kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo...

ZANZIBAR KUWA KITOVU CHA UZINDUZI WA MSAADA WA KISHERIA AWAMU YA PILI

0
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma Zuberi Homera,akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 17,2026 jijini Dodoma  kuhusu uzinduzi wa awamu ya pili ya...

WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA YAHIMIZA VIJANA KUTUMIA FURSA ZA KIUCHUMI

0
Na Mwandishi Wetu-DODOMA Wizara ya Viwanda na Biashara imewahimiza wananchi, hususan vijana na wajasiriamali, kutumia kikamilifu fursa zinazotolewa na taasisi zake ili kukuza biashara, kuongeza...