Sunday, March 22, 2026
Home 2026 February

Monthly Archives: February 2026

SERIKALI YAZINDUA AWAMU YA KWANZA YA MRADI WA KUPELEKA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KWA...

0
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, amezindua awamu ya kwanza ya mradi wa kusambaza nishati safi ya kupikia katika taasisi zinazohudumia watu zaidi...

TRA YAFUNGUA KITUO KIPYA CHA HUDUMA ZA KODI MASAKI DSM

0
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefungua kituo kipya cha huduma katika eneo la Masaki Dar es Salaam ambacho kipo chini ya mkoa kodi Kinondoni...

CG MWENDA AONYA WANAODANGANYA KUFUTA MADENI YA KODI

0
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Yusuph Juma Mwenda amewataka wafanyabiashara wenye madeni ya kodi kufika kwenye ofisi za mamlaka hiyo...

WAZIRI MAVUNDE AKABIDHI BILIONI MBILI ZA MIKOPO KWA WAJASIRIAMALI JIMBO LA MTUMBA

0
Na.Alex Sonna-DODOMA WAZIRI  wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Mtumba Mhe. Anthony Mavunde , amevitaka vikundi vilivyonufaika na mkopo wa shilingi bilioni mbili uliotolewa...

SERIKALI YA AWAMU YA SITA YAONGEZA NGUVU ELIMU YA UFUNDI STADI KUCHOCHEA UCHUMI

0
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), CPA Anthony Kasore akizungumza na waandishi wa habari kuhusu miradi ya maendeleo...

FCC YAITANGAZA TANZANIA KAMA KITOVU CHA BIASHARA NA USAFIRISHAJI AFRIKA MASHARIKI

0
Kaimu Mkurugenzi Mkuu FCC Bi. Khadija Ngasongwa,akitoa maelezo namna FCC inavyoshirikiana na wafanyabiashara wa sekta ya usafirishaji wa mizigo (logistics) katika kuongeza thamani kwenye...

DKT. MKILIA : KUTOTEKELEZA MATAKWA YA PDPA NI HATARI KWA FARAGHA , USALAMA NA...

0
Na Mwandishi Wetu.  Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) Dkt. Emmanuel Lameck Mkilia amesema kuwa kutotekeleza matakwa ya Sheria ya Ulinzi...

MHE. JAJI ROSE EBRAHIM: KUJUA HAKI YAKO KUNAPUNGUZA GHARAMA

0
KIGOMA Baraza la Ushindani(FCT), moja ya taasisi zilizo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara, imeendesha kikao cha kuwajengea uwezo watumiaji wa huduma, wadau na...

BAHATI YAWAANGUKIA WAWILI, WASHINDA BODABODA DROO YA PIGABET

0
Watanzania wawili wamejishindia bodaboda mbili katika droo ya promosheni ya kampuni ya michezo ya kubahatisha ya PigaBet iliyochezeshwa leo jijini Dar es Salaam, ikiwa...

ICU MPYA HANDENI MJI KUPUNGUZA SAFARI YA KILOMITA 160 KUTAFUTA HUDUMA ZA DHARURA

0
Na mwandishi wetu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Handeni, Maryam Ukwaju amesema mradi wa jengo la wagonjwa Mahututi katika Hospitali ya Halmashauri hiyo litakapokamilika litaondoa...