Sunday, March 22, 2026
Home 2026 February

Monthly Archives: February 2026

MAKAMU WA RAIS BALOZI NCHIMBI KUWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 120 YA...

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasili Songea mkoani Ruvuma leo tarehe 26 Februari 2026, kwa...

FCC Yasisitiza Ushindani wa Haki kwa Maendeleo ya Taifa

0
Tume ya Ushindani (FCC) imesema itaendelea na mchakato wa marekebisho ya sheria zake kwa lengo la kuimarisha ulinzi wa walaji, kudhibiti bidhaa bandia na...

KATIBU MKUU RAMEPRO,BONIVENTURA MWALONGO ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO CHA MAREHEMU KARDINALI PENGO

0
Kwa masikitiko makubwa na huzuni nzito, tumepokea taarifa ya kifo cha Mwadhama Polycarp Cardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es...

MFUMO WA IDRAS KUONGEZA UWAJIBIKAJI NA UWAZI KATIKA TAASISI ZA UMMA

0
Meneja wa Ukaguzi wa Sekta za Umma, kutokea Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bi. Rosemary Ruganuza,amezitaka taasisi za sekta ya umma kutumia kwa usahihi...

DKT.JAFO AWAKUNA WANANCHI KWA KUSIMAMIA DARAJA LA KITOMONDO HADI USIKU

0
WANANCHI wa Kata ya Mzenga na Mafizi wamepongeza hatua ya Mbunge wao, Dkt. Selemani Jafo, kusimamia binafsi ujenzi wa Daraja la Kitomondo hadi usiku,...

FCC YASEMA MAGEUZI YA SHERIA YATALINDA WALAJI, KUBANA BIDHAA BANDIA

0
Tume ya Ushindani (FCC) imesema inaendelea na mageuzi ya sheria na mifumo yake ya kazi ili kuimarisha ushindani wa haki sokoni na kulinda walaji...

WATOA HUDUMA YA LPG PWANI WAKUMBUSHWA USALAMA

0
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Mashariki imewakumbusha wafanyabiashara na wadau wa gesi ya kupikia (LPG) kuzingatia usalama,...

SERIKALI YAENDELEA KUBORESHA HUDUMA KWA WAZEE – DKT. JINGU

0
Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu, amesema dhamira ya Serikali ni kuendelea kuwajali na kuwahudumia...

EWURA YAPONGEZWA KWA USHIRIKIANO, USIMAMIZI WA MAMLAKA ZA MAJI NCHINI

0
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) ameipatia tuzo Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kwa kutambua mchango wake na...

TBS KANDA YA KATI WATEKETEZA TANI 4.5 ZA NGUO ZA MITUMBA , VIPODOZI NA...

0
Na Mwandishi Wetu. SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Kati limeteketeza tani 4.5 za bidhaa hafifu na zilizopigwa marufuku zenye thamani ya shilingi milioni...