Home 2024
Yearly Archives: 2024
KAMPUNI YA TIGO YAPONGEZWA NA SERIKALI KWA UTOAJI WA HUDUMA BORA
Kaimu Afisa Mkuu wa Tigo,Jerome Albou akimkaribisha Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi alipotembelea Makao makuu ya Tigo,...
ZTE A35 SIMU JANJA MPYA YA BEI NAFUU , TIGO WADHAMIRIA MAPINDUZI KIDIGITALI
ZTE A35 kwa Tsh, 650 TU : Tigo na ZTE wanakuletea simu janja mpya ya ZTE A35 kwa malipo ya mpango ya Tsh. 650...
MARA MSIMU HUU TUNA JAMBO LETU LA KUIPANDISHA BIASHARA UNITED LIGI KUU – DC...
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa Wilaya ya Musoma Juma Chikoka amesema msimu huu mkoa wa Mara una jambo lake moja la kuhakikisha timu ya Biashara...
BUMIJA ASHINDA MWENYEKITI CHADEMA MKOANI PWANI
Mwandishi Wetu, PwaniSeptemba 9, 2024
CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Pwani kimemchagua Bumija Moses kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho kwa kipindi cha miaka...
TBS WASHIRIKI MAONESHO YA 21 YA WAHANDISI TANZANIA KWA KISHINDO
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeshiriki katika Maonesho ya 21 ya Wahandisi Tanzania kwa kutoa elimu kwa wahandisi kuhusu uwepo mashine bora na za...
WAZIRI JAFO AWAPONGEZA TBS KWA KUTATUA KERO ZA WATANZANIA , AZINDUA BODI YA WAKURUGENZI
.
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo akishuhudia shughuli ya kula kiapo kwa...
WANANCHI NYATWALI WAMUAHIDI RC MTAMBI MATUMIZI SAHIHI FEDHA ZA FIDIA
Na Shomari Binda- Bunda
WANANCHI wa Kata ya Nyatwali wilayani Bunda wamemuahidi mkuu wa mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambj matumizi sahihi ya fedha za...
DC RUFIJI ALA KIAPO, RC KUNENGE ATOA MAAGIZO
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amewaagiza Wakuu wa Wilaya wa mkoa huo kufanya kazi kwa kushirikiana kulingana na uwezo wao, huku wakifanya...
WIZARA YA MALIASILI YAZIDI KUWA TISHIO KWENYE MICHEZO YA KIRAFIKI KUELEKEA SHIMIWI 2024
Na. John Bera - Dodoma.Wizara ya Maliasili na Utalii imeibuka mshindi kwenye michezo mitatu ya kirafiki iliyochezwa leo kwenye Viwanja vya Vijana vilivyopo Jijini...














