Wednesday, October 28, 2026
Tangazo-NHC
Home 2024

Yearly Archives: 2024

DIT KUFUNGUA KITUO CHA UMAHIRI WA TEHAMA AFRIKA MASHARIKI

0
Na Adery Masta. Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) iko mbioni kufungua Kituo cha umahiri wa Tehama Kanda ya  Afrika Mashariki unaotekelezwa chini ya...

WATANZANIA WAONDOKA NA MAMILIONI YA FEDHA , SIMU 42 KUTOKA TIGO MAGIFTI YA KUGIFTI...

0
 . Wafanyabiashara kutoka Dar es Salaam ambao ni Washindi wa milioni moja moja katika kampeni inayoendelea ya Magift ya Kugift, Rose Siratro Mosha (katikati kulia),...

TARURA YATAKIWA KUTEKELEZA MIUNDOMBINU YA BARABARA KABLA YA MSIMU WA MVUA KUANZA GEITA DC

0
Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilaya ya Geita umetakiwa kutekeleza miradi ya ujenzi wa miundombinu ya barabara zenye changamoto kabla ya...

TIGO WAJA NA MJASIRIAMALI BOX ILIYOBORESHWA , KUTOA MIKOPO NA HUDUMA KIBAO KWA WAJASIRIAMALI.

4
. Afisa Mkuu wa Tigo Business, Bw. John Sicilima akimkabidhi Mjasiriamali router ya 5G, katika uzinduzi wa Mjasiriamali box iliyoboreshwa kwaajili ya wajasiriamali na wafanyabiashari...

TANZANIA, MAREKANI ZAJADILI UWINDAJI WA KITALII KWA NJIA YA MTANDAO

0
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amefanya mazungumzo kwa njia ya mtandao na ujumbe kutoka Idara ya Uvuvi na...

MKUTANO WA UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI KUFANYIKA DAR ES SALAAM NOVEMBA 19HADI 21

0
Na Magrethya Katengu ---Dar es salaam Tanzania ni miongoni mwa nchi iliyoweka msingi thabiti wa kushirikiana na wadau mbalimbali katima sekta ya Madini ili kuhakikisha...

WAZIRI JAFO MGENI RASMI KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA UBORA NOVEMBA 18 ,...

0
Na Mwandishi Wetu. SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wafanyabiashara kutumia teknolojia na kuongeza ubunifu unaozingatia kanuni za ubora wa bidhaa ili waweze kushindana katika...

RAIS SAMIA AONGOZA KUAGA MWILI WA LAWRENCE MAFURU

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango...

SERIKALI KUTUMIA BILION 1.16 KUJENGA SHULE MPYA MBILI ZA SEKONDARY WILAYA YA SAME

0
Na Ashrack Miraji Mzawa Online Serikali kupitia Mradi wa Uboreshaji Elimu ya Sekondari (SEQUIP) inatarajia kutumia zaidi ya shilingi bilioni 1.16 katika mwaka wa...

DKT MPANGO ATAKA UBUNIFU WA VIJANA UZINGATIWE KATIKA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

0
Na Irene Gowelle Baku, Azerbaijan. Ili kufikia malengo tarajiwa katika matumizi ya nishati safi ya kupikia, Makamu wa Rais, Mhe.Dkt Philip Mpango amesema ni muhimu uvumbuzi...
Celebrating 25 Years of NHIF