Home 2024
Yearly Archives: 2024
WAZIRI SILAA AWEKA BAYANA MIKAKATI YA KUWEZESHA IDARA YAKE YA HABARI , MAWASILIANO NA...
Na Mwandishi Wetu.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, ameweka wazi mikakati yake ya kuboresha sekta ya habari kupitia ushirikiano wa...
WAZIRI CHANA AKUTANA NA BALOZI WA URUSI NCHINI TANZANIA
Na Happiness Shayo- Dar es Salaam
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Urusi...
KASI YA MAENDELEO DAR ES SALAAM INACHANGIA ONGEZEKO LA MAHITAJI YA UMEME- MHE. KAPINGA
π Serikali yajikita kufanya maboresho ya miundombinu ya umeme kukidhi mahitaji
π Kituo umeme Kinyerezi chafanyiwa upanuzi; chafungwa Transfoma za MVA 175
π Zanzibar kunufaika na...
TUJENGE MAZOEA YA KUTEKELEZA YALE TULIYOKUBALIANA – DKT. BITEKO
π Asema haiwezekani kutenga bajeti ya michezo kisha kuitumia vinginevyo
π Amtaka Msajili wa Hazina kushiriki ufungaji bila kuwakilishwa
π Shimmuta yashukuru kwa ushirikiano wa Serikali...
RC SERUKAMBA AIUNGA MKONO REA UGAWAJI MITUNGI YA GESI 9800 IRINGA
πREA yahamasisha ujenzi wa vituo vidogo vya mafuta maeneo ya vijijini
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Peter Serukamba ameunga mkono juhudi za Wakala wa...
WANANCHI KIJIJI CHA NYASAUNGU KUANZA KUPATA HUDUMA ZA AFYA KWENYE ZAHANATI DISEMBA 2024
Na Shomari Binda-Musoma
WANANCHI wa Kijiji cha Nyasaungu chenye vitongoji 5 kilichopo jimbo la Musoma vijijini wataanza kupata huduma za afya kwenye zahanati yao ifikapo...
AKIBA COMMERCIAL BANK PLC YATOA MSAADA KWA WAOKOZI GOROFA LILILOPOROMOKA KARIAKOO
Na Magrethy Katengu--Dar es salaam
Akiba Commercial Bank imeendelea kujitoa si tu kuhudumia wateja wake bali pia kushiriki katika juhudi za kijamii wakati wa dharura...
UOKOAJI KARIAKOO NI USHUHUDA WA MOYO WA UTANZANIA: NCHIMBI
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amepongeza utayari na mshikamano ulioonyeshwa na Watanzania mara baada ya tukio la...
BARAZA LA MADIWANI, HALMASHAURI YA WILAYA YA SAME, LIMEAZIMIA KUMUONDOA KAZINI MTUMISHI MMOJA KWA...
Na Ashrack Miraji, Mzawa Online
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Same limeazimia kumuondoa kazin Hellen Sige, aliyekuwa Bibi Afya wa Kata...
DKT. BITEKO AKAGUA UTEKELEZAJI MIRADI INAYOTEKELEZWA CHINI YA CSR MSIMBATI, MTWARA
π Ahoji matumizi ya Shilingi milioni 159 nje ya bajeti Ujenzi wa Kituo cha Afya Msimbati;π Majibu ya Mkurugenzi wa Halmashauri, wataalam yatofautiana;π Mkuu...















