Thursday, June 25, 2026
Home 2024 August 8

Daily Archives: August 8, 2024

TFS TOENI ELIMU YA UMUHIMU WA UPANDAJI MITI – NDARUKE

0
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kibiti mkoani Pwani Juma Ndaruke amewataka Wakala wa Misitu Tanzania - TFS kutoe elimu ya umuhimu wa upandaji miti...

MBUNGE MONNI AKABIDHI MADAWATI 200 SHULE ZA MSINGI CHEMBA

0
Katika kukabiliana na Changamoto ya upungufu wa madawati katika halmashauri ya wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma Mbunge wa Jimbo la Chemba Mohamed Monni amekabidhi...

MATUMIZI YA MKAA, KUNI DAR ES SALAAM TISHIO KWA MISITU KISARAWE, TaTEDO-SESO WATOA ELIMU...

0
Na Mwandishi Wetu  Afisa Misitu msaidizi wa Wilaya ya Kisarawe Bwana Waziri Mkumbwa amesema hali ya uvunaji wa misitu kwa ajili ya nishati ya mkaa...

BENKI YA TCB YAPEWA HESHIMA YA KUWA MDAU NAMBA MOJA KATIKA MRADI WA SGR.

0
Na Mwandishi Wetu. Benki ya Biashara Tanzania (TCB)  imesema inajivunia kuwa sehemu ya mradi wa reli ya kisasa (SGR) uliozinduliwa hivi karibuni kwa safari ya...

MALIKI HASHIMU (GOBA) ARUHUSIWA KWENDA NYUMBANI WAZAZI WAMSHUKURU MHE. RAIS

0
Na Mwandishi wetu--Dar es salaam Mtoto Maliki Hashimu, mkazi wa Goba Jijini Dar es Salaam, aliyekuwa akitibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kutokana na majeraha...

TUZO ZA TAMTHILIA ZA KIMATAIFA KUZINDULIWA AGOSTI 24,2024

0
Na Magrethy Katengu-Dar es salaam WASANII filamu za Bongomovie wameshauriwa kuchangamkia fursa waliyopewa Kimataifa kupitia Tuzo za Tamthilia zinazotarajiwa kuzinduliwa rasmi Agosti 24,2024 Jijini Dar...

TIA -KUFUNGUA TAWI JIPYA MKOA WA TANGA

0
Na Monica Sibanda - dodoma Taasisi ya Uhasibu Tanzania TIA inatarajia kufungua tawi lao kubwa Tanga ambalo wanategemea kwamba litakua linafundisha wanafunzi kwanzia level mbalimbali. Hayo...